Kuuliza sio ujinga

Tukana ovyo ovyo na kutuma picha za ajabu ajabu ndo utajua kazi yake nini na kingine kama unajua maana ya MODERATOR basi usinge kuja na hili swali.
 
hawa moderators ndo wamiliki wa JF ...umegusa ikulu apo usiwatukane utapgwa LIFE BAN. .hawanaga longolongo kama za Apollo kuzuga wameenda mwezini
 
hawa moderators ndo wamiliki wa JF ...umegusa ikulu apo usiwatukane utapgwa LIFE BAN. .hawanaga longolongo kama za Apollo kuzuga wameenda mwezini
Hhahahahahahahahaha
 
vema waje kujibu wao wenyew si wanaona? pia watuambie wanateuliwa na nani au vigezo vya kuwa moderators?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…