martini enock JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 635 Reaction score 274 Sep 27, 2016 #1 Hivi Azam tv haina blind scan? Maana nimesakua lakini cjaona Naomba msaada kwa yeyote anayejua masuala ya king,amzi cha Azam Asante.
Hivi Azam tv haina blind scan? Maana nimesakua lakini cjaona Naomba msaada kwa yeyote anayejua masuala ya king,amzi cha Azam Asante.
ANTHONY KWEKA JF-Expert Member Joined Mar 26, 2013 Posts 958 Reaction score 380 Sep 27, 2016 #2 Universal decoder kama Alfa box ndio zenye hiyo option....
martini enock JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 635 Reaction score 274 Sep 27, 2016 Thread starter #3 Kwa hiyo hakuna namna mkuu ya kuscan kwa njia nyingine? Na pia hebu nipe ELIMU kidogo ubora wa kila king,amzi cha kuscan na ambacho sio cha kuscan
Kwa hiyo hakuna namna mkuu ya kuscan kwa njia nyingine? Na pia hebu nipe ELIMU kidogo ubora wa kila king,amzi cha kuscan na ambacho sio cha kuscan
New Nytemare JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 3,419 Reaction score 2,639 Sep 27, 2016 #4 what is blind scan??