Kuuliza si Ujinga

Kuuliza si Ujinga

moreen baby

Senior Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
127
Reaction score
23
Mwanaume shoga ni mwanaume wa aina gani?

Nini anacho nini hana na je unaweza kuwa na mahusiano na mwanaume shoga?
 
Shoga ni mwanaadamu mwenye jinsia ya kiume ambaye anafanywa mapenzi kinyume na maumbile, mashoga hawa huwa wanaishi na kuwa na utaratibu wa maisha kama wanawake wanavyoishi ikiwemo kutengeneza nywele, kucha, kubana sauti na hata kubinua midomo. Kuwa na uhusiano na shoga ni sawa na kuwa na mwanamke mwenzio ndani.
 
mwanaume shoga n mwanaume wa aina ganni nini anacho nini hana na je unaweza kuwa na mahusiano na mwanaume shoga

Nadhani inategemea na unaidefine VP neno "shoga"
Kwa wenzetu hata mwanaume ambaye "hapumuliwi kisogoni" lakini anajihusisha na mahusiano/Mapenz hayo ya jinsia moja nae ni shoga
lakini kwetu na afrika mashariki kwa ujumla tunakukulia neno shoga kwa mwanaume ambaye "anafanywa" na wanaume wenzie
Shoga huyu ambaye anaweza kua ana hisia za kiume pia(nikimanisha anaweza kumfanya mwanamke"anaweza kudindisha") au akawa hana uwezkmkabisa Wa kufanya
Tukianza na huyu mwenye hisia za Kike nyingi(probably female hormones)zimezidi Mara nyingi ni biological disorder but wengi Wa mashoga nowadays ni biashara kama uchangudoa tu so ni watu ambao wameamua kuyatumia matobo yao kupata Raha/biashara zaidi ya "kukatia gogo"
 
Shoga ni mwanaadamu mwenye jinsia ya kiume ambaye anafanywa mapenzi kinyume na maumbile, mashoga hawa huwa wanaishi na kuwa na utaratibu wa maisha kama wanawake wanavyoishi ikiwemo kutengeneza nywele, kucha, kubana sauti na hata kubinua midomo. Kuwa na uhusiano na shoga ni sawa na kuwa na mwanamke mwenzio ndani.

siyo lazima aishi kama mwanamke , wengine ni watu strong tu na wana wake na watoto ,,,,,,,,,,,, sema ndiyo

wanapumuliwa kisogoni.
 
moreen baby wanaume mashoga wa nini baby?

hujapata shababi , rijali kamili asiyepumuliwa akakukuna?
 
Last edited by a moderator:
hapa hakuna cha homoni wala nini ni laana tu. Wafungiwe mawe na kutoswa.
 
mmh.mashoga as i knw n mwnaume anae f**lwa.yaan n mwanaume anaegeuza kwa kufanywa mapenz na wanaume wenzake.nkmaansha hutumia sehemu ya haja kubwa kama njia ya kufanyia mapenz.inanitisha hii.bt shoga hata kama atakuwa na hisia za kiume yaan mpaka kudndsha bas hawez mfksha mwanamke klelen..thats wat i hear
 
Wanaume mashoga (namaanisha wanaochukua nafasi ya mwanamke) pia wanajiremba kuliko kawaida ya wanaume na wakati mwingine anabeba kipimajoto kama wanawake.
Mahali ninapoishi yupo shoga mmoja wa aina hiyo. Yeye ni rafiki sana wa dada mmoja mke wa mtu na wanaitana "shosti" na wanatoka out mara nyingi kama mtu na rafiki yake. Cha ajabu mme wa huyo dada anajua ushosti wao na wakati mwingine shoga anaweza kumpitia yule dada nyumbani kwake mumewe akiwepo wanajiandaa na kumuaga na kuondoka. Hata chumbani kwa huyo dada anaingia.Umeipata hiyo?
 
mmh.mashoga as i knw n mwnaume anae f**lwa.yaan n mwanaume anaegeuza kwa kufanywa mapenz na wanaume wenzake.nkmaansha hutumia sehemu ya haja kubwa kama njia ya kufanyia mapenz.inanitisha hii.bt shoga hata kama atakuwa na hisia za kiume yaan mpaka kudndsha bas hawez mfksha mwanamke klelen..thats wat i hear

hapo ndio nawashangaa hawa viumbe!! Hivi janaume zima na mindevu na mapumbu linamvulia nguo mwanaume mwenzie linapata raha gan zaid kuliko ya mwanamke?! Hawa watu walistahili kunyongwa tu..... Wanaacha kitu kizur kilichobalikiwa cha mwanamke. Hv utawezaje kusimamisha kwa mwanaume mwenzio wakat unaliona ligegedeo lake na mindevu hyoo! Daah! Hii dunia
 
mwanaume shoga ni yule ambaye
anafanya mapenzi na mwanaume
mwenzake kinyume namaumbile
na mpango wa Mungu umeelewa?

Mwanaume shoga ni mwanaume wa aina gani?

Nini anacho nini hana na je unaweza kuwa na mahusiano na mwanaume shoga?
 
Back
Top Bottom