Kuuliza si ujinga

choupa moting

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
1,508
Reaction score
2,577
Wakuu naomba kuuliza. Takribani wiki moja sasa nchi ya Tanzania imekumbwa na msiba wa bilionea maarufu Dr. RA Mengi lakini katika hali isiyo ya kawaida sijaona bwana nywele nyeupe. Huyu ndugu kwa kawaida hakosagi misibani au popote penye huzuri hutokea kufariji watu lakin safari hii imekua tofaut na hata ukizingatia ni mtu wa njia moja na marehem, amekumbwa na nini huyu mzee? Lakini je yupo nchini kweli? Maana toka ameenda kupokelewa kule kijijini kwake baada ya kurudi CCM hajaonekana tena si kwenye gazeti wala kipeperushi. Yuwap huyu mzee? Je mzima huko aliko?
 
Atakuwa kajipumzisha mjengoni kwake,
 
Aliwakilishwa na Mshindani wake wa uraisi wa mwaka 2015.
 
Umri wake na afya yake vinamtisha kuhudhuria sehemu kama hizo..

Si unajua izrail anapenda kuchagua watu maeneo kama hayo? [emoji38]
 
Lazima ujue sio kila analofanya mwanasiasa ili aonekane huwa analifanya kwa kupenda yeye binafsi.mengine huwa wanafanya ili kupata mileage ya kusiasa na sio zaidi
Mwanasiasa huwa anafanya vitu vya kuonekana kwa kusudi la mbele tu hasa kampeni..hivyo huwa kuna sababu
Kwa sasa mzee wa nywele nyeupe hana kitu anachotafuta kwenye siasa hivyo hakuna sababu ya kuonekana kila sehem maana haimsaidii....hana anachoogeza au kupunguza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…