mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 892
- 1,709
Niliwahi kuandika ilipovamiwa staki shari na leo naandika hapa,kijasusi inapotokea uvamizi wa vyombo vya usalama au sehem ambazo si kawaida kutokea matukio hayo kama kuteka wananchi ni signal kwa serikali kwa mambo kadhaa , ikiwa kuna tofauti kati ya serikali na chombo cha usalama hutokea matukio hayo, ikiwa chombo cha usalama kinataka kufikisha ujumbe wake ili serikali ijirekebishe hutokea hayo! Majambazi huvamia sehemu zenye pesa au mali nyingi zinazoweza badilishwa kua pesa nyingi,huhitaji kua na akili ya kipelelezi kujua haya! Okay majambazi wamewavamia ghafla wakawasimamisha then wakaanza kurusha risasi bila mafunzo ya kijeshi huezi tekeleza tukio kama hili kwa umahili wa hali ya juu bila upande wa wahalifu kujeruhiwa na kutoroka na silaha zote za askari.....hivyo serikali ijipange sana huenda kukatokea matukio zaidi kama haitafanya maamuzi ya haraka.
Nawasilisha
Nawasilisha