Kutuvalia vimini makanisani Je huu ni ungwananaa kweli???

huwa nashangaa sana mtu kwenda church na kimini au jeans jamani sio uungwana hata kidogo
 
ajabu anavaa hicho kimin, akikaa kwenye kiti anajishitukia anajaribu kivutavuta kilefuke, nikiwatazama hao wadada siwaelewi kama ni akili zao ama kuna kitu kingine. Mungu atunusuru na hatari iliyopo mbele yetu
 
Mimi huwa inanikera sana hiyo tabia jamani, mtu una siku sita za kuvaa upendavyo yaani hiyo siku moja tu tena masaa machache unashindwa kuvaa kwa staha.
Tena utakuta hao ni wanakwaya wapo mbele ya kanisa wote tunawaface wao, mimi mwanamke tu huwa nakwazika naona naondolewa upako sijui hao wanaume..Jirekebishani bwana, mkiambiwa maagent wa shetani mtakasirika mtasema mnahukumiwa...
 
Ntajikwaa bure ..........

....unaona banaaa mbona hao hawajikwai?...Misa zitaenda vizuri kabisa bila ya wanaume kuangaliaangalia huku na kule ili kuangalia upaja wa haja, au kifua kilichotulia na shughuli nzito nyingine zinazoyavuta macho ya Wanaume wengi.
 
hii thread nimeipenda maana imegusa swali ninalojiuliza kila siku ikiwa ni: KWA NINI? iNAKUWAJE MAVAZI YA AINA HII YANARUHUSIWA MAKANISANI? Nimefikia mahali kuamini kuwa pengine mapadri na wachungaji wengine hushabikia mavazi ya aina hii kwa sababau huenda yanawa
sisimua ukizingatia kuwa wachungaji wa kiume nao ni wanaume kama wanaume wengine walio nje ya upadri au uchungaji. (SIJAWAHUKUMU TAFADHALI)
Ni kwa sababu hiyo naheshimu na kusifia mavazi ya waislamu (both men and women) wanapokuwa kwenye nyumba za ibada
 
hii thread nimeipenda maana imegusa swali ninalojiuliza kila siku ikiwa ni: Kwa nini? Inakuwaje mavazi ya aina hii yanaruhusiwa makanisani? Nimefikia mahali kuamini kuwa pengine mapadri na wachungaji wengine hushabikia mavazi ya aina hii kwa sababau huenda yanawa
sisimua ukizingatia kuwa wachungaji wa kiume nao ni wanaume kama wanaume wengine walio nje ya upadri au uchungaji. (sijawahukumu tafadhali)
ni kwa sababu hiyo naheshimu na kusifia mavazi ya waislamu (both men and women) wanapokuwa kwenye nyumba za ibada

mkuu tatizo sio hilo tu kutamani wengi wanaovaa nguo fupi wanatoa mafungu makubwa kanisani na wengine wanakazi na vyeo vizuri sana nimeona kanisa moja pale kawe makuti nikamuuliza mmoja wa wazee wa kanisa akaniambia niomefwata mungu nimefwata mavazi nikageuka nakumwambia mungu unirehemu..waakati wa ibada akasimama mchungaji wao bana akalaaani sana wanaopiga kelele ya mavazi na mwisho nikaja kujua wengi waliovaa mini wanakazi nzuri wengine un bana na ndio hao ukiwafukuza fungu litatoka wapi ..??analaani kabisa kama umekuja kuangalia nguo ondoka ndan ya mahubiri
 
Shetna ni mbaya sana san a nafanya kulitawala kanisa na pesa zake chafu
 
Si kila anaeingia kanisani anamwabudu Mungu,wengine wanatumika katka serikali ya shetani kama vivutio vya kuongeza wanachama,usidhani wapo tu mtaani au kwenye dark act areas no,hata kanisani pia waapo.its lke devil's receptionists..
 
St. Joseph Dsm wameongeza ubao kwenye mabenchi ya mbele kabisa ili kuzuia padre na watumishi wasione mamboz akina dada wanaokaa mabenchi hayo ya mbele.
Sasa kazi kwenye kifua maana nako.......
Sijui watafanyaje

Mm nadhan hawajuwa uthaman wa kanisa na jnc yakujweka tayar kwa MUNGU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom