Kutunza na kulea mimba ya mwanaume mwenzio

Kutunza na kulea mimba ya mwanaume mwenzio

Kwa sababu gani ndugu?

1.Mwanamke akishajua unampenda kupitiliza anakuwa kesha jihakikishia we ni wake tu ndo aanapata nguvu ya kugawa nje.
2.akisha jifungua ataanza kumuona mwanaume kama alikuwa na dhiki ya wanawake yeye hata jihesabu kama amebahatika kuolewa.
3.hatoona ngumu sana kubeba mimba ya nje na kukuzalia mimba isiyo yako.
4.wanawake hujiona ni wenye bahati kwa mwanaume ambaye demu mwenyewe amejilengesha na wewe mwanaume ukajaa kati tofauti na wewe kumsotea.
 
Mkuu huyu kaikubaliki hananoma mbaya niwengi kwenyendoa wanatunmza totos siozao napitatu....
 
1.Mwanamke akishajua unampenda kupitiliza anakuwa kesha jihakikishia we ni wake tu ndo aanapata nguvu ya kugawa nje.
2.akisha jifungua ataanza kumuona mwanaume kama alikuwa na dhiki ya wanawake yeye hata jihesabu kama amebahatika kuolewa.
3.hatoona ngumu sana kubeba mimba ya nje na kukuzalia mimba isiyo yako.
4.wanawake hujiona ni wenye bahati kwa mwanaume ambaye demu mwenyewe amejilengesha na wewe mwanaume ukajaa kati tofauti na wewe kumsotea.

conspiracy theories.
 
........Huyo kaka ndio anajua penzi la kweli. Huyo dada naye anastahili kupendwa.
 
Mimi sioni tatizo hapo ni suala la makubaliano Yao...
 
Mimi sioni tatizo hapo ni suala la makubaliano Yao...

Ni kweli, ila wanaume wengi huwa wanapata kugugumizi kuoa mwanamke mwenye mtoto, sasa hili la mtu mwenye mimba je?
Maana anashuhudia live shughuli iliyofanywa na mwenzie.
 
Je, wewe ulitaka aolewe na nani? Ujue Mungu yupo katikati yao, hata bikra maria ilikuwa hvyohvyo kwa yosefu. Linaloshindikana kwa wanadamu kwa Mungu linawezekana. Heri yeye asiye na mashaka juu ya huyo mwanamke

Mfano wako hauendani....
 
Habari ya Jumamosi ndugu.

Kuna dada mmoja amepewa mimba na mpenzi wake (takribani miezi 7 ) Hivi sasa kapata mpenzi mwingine aliyeahidi kumuoa japokuwa ana mimba ya mtu mwingine.

Dada huyu ni mzuri wa kuvutia, ninachojiuliza, je ni kweli huyu kaka anataka kumuoa au anataka kumchezea.

Ushauri wenu wapendwa.
 
Back
Top Bottom