Kweli kabisa asee.. hata mm naogopa sana. Ukitaka kuthibitisha hebu nitumie uone. Nakurudishia.Mimi namba yangu hutumiwa pesa kimakosa mara nyingi sana ila siwezi kuthubutu kutoa kwa sababu:
1.Pesa sio yangu ni ya mtu mwingine.
2.Hujui pesa ilitumwa kwa lengo gani,pengine inatumwa ili kunusuru maisha ya mtu kwa kulipia malipo ya hospitali.n.k.
3.Lazima watanzania tuwe na hofu ya Mungu na kupendana kwa kujua hata wewe huwezi furahi kama utafanyiwa kitendo kama hicho.
😀😀😀Kweli kabisa asee.. hata mm naogopa sana. Ukitaka kuthibitisha hebu nitumie uone. Nakurudishia.
Eti kimakosa mara nyingi, acha uongoMimi namba yangu hutumiwa pesa kimakosa mara nyingi sana ila siwezi kuthubutu kutoa kwa sababu:
1.Pesa sio yangu ni ya mtu mwingine.
2.Hujui pesa ilitumwa kwa lengo gani,pengine inatumwa ili kunusuru maisha ya mtu kwa kulipia malipo ya hospitali.n.k.
3.Lazima watanzania tuwe na hofu ya Mungu na kupendana kwa kujua hata wewe huwezi furahi kama utafanyiwa kitendo kama hicho.
uongo ni dhambi mkuu,nalokwambia ni kweli tupu.Eti kimakosa mara nyingi, acha uongo
Acha unyonge weweMimi namba yangu hutumiwa pesa kimakosa mara nyingi sana ila siwezi kuthubutu kutoa kwa sababu:
1.Pesa sio yangu ni ya mtu mwingine.
2.Hujui pesa ilitumwa kwa lengo gani,pengine inatumwa ili kunusuru maisha ya mtu kwa kulipia malipo ya hospitali.n.k.
3.Lazima watanzania tuwe na hofu ya Mungu na kupendana kwa kujua hata wewe huwezi furahi kama utafanyiwa kitendo kama hicho.
Sio unyonge ni huruma dhidi ya mwenzio na kufanya yale ambayo unapenda kutendewa pia...na zaidi ya yote hofu ya Mungu.Acha unyonge wewe
UbarikiweSio unyonge ni huruma dhidi ya mwenzio na kufanya yale ambayo unapenda kutendewa pia...na zaidi ya yote hofu ya Mungu.