MPHINGU
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 518
- 613
Wakuu,
Leo nimeona niwaletee group ya watumiaji umeme wa TANESCO wa watu wa kipato cha chini tariff 4 units 75 kwa mwezi.
Watumiaji wa kundi hili, ili wasivuke kiwango cha units 75, nilazima wajinyime kutumia pasi, feni, tv, computer, friji nk na haiwezekani ukiwa na family uepukane kutumia vitu kama hivi muhimu kwa maisha ya binadamu, kwa hapo wenye umeme, wasio tumia vitu hivyo WANAJIDANGANYA.
Kuna wateja wengine wa TANESCO wamo kwenye kundi hili la TARIFF 4, wanatumia vitu vote, na tena hawavuki units 75, hao wanaidanganya tanesco, kwa figisu moja au nyingine.
Sasa ninachowaomba TANESCO na EWURA, badala ya kundi hili la wasio jiweza kuwapa units 75, wa wape units 150 ili na wao wapate unafuu wakutumia umeme bila kujinyima.