Kutumia Internet bundles sasa imekuwa anasa

Kutumia Internet bundles sasa imekuwa anasa

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,467
Reaction score
28,902
Hapo awali mtu asingewaza kusema anafilisika kisa gharama za matumizi ya internet ila kwa sasa wamekomesha watu.

Yaani mtu unatumia bundles ngali roho ikiwa juu juu ukigusa tu ka video unaambia umetumia 75%, hatariii.
 
Dawa ni unlimited tu, hizi bando za kupima ni pasua kichwa! Kuna jirani yangu hapa nimemuunga na Wi-fi, kaniona mkombozi niliyeshushwa na Mungu
𝐭𝐮𝐩𝐞 𝐮𝐳𝐨𝐞𝐟𝐮 𝐰𝐚 𝐰𝐢𝐟𝐢 𝐮𝐧𝐚𝐧𝐮𝐧𝐮𝐚 𝐛𝐮𝐧𝐝𝐥𝐞 𝐥𝐚 𝐬𝐡. 𝐍𝐠𝐚𝐩𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐰𝐞𝐳𝐢?
 
Yule waziri si aliwaambia, mnashinda mtandaoni kwa sababu hamna kazi za kufanya.

Sasa acha tuendelee kulia #BoniYai on X.
Unajua suala la kupanda kwa gharama za vifurushi ni mbinu zakiutawala, wananchi wakose access ya data ili wawe wajinga pale serikali inaposema inanunua vichwa vya treni mkubaliane nao,

Ukiwa na data ya bei cheap, chap uko mtandaoni unaangalia hizo specific za vicha vya treni then unatoa maoni yako, kuna mambo mengi serikali inayabania kwa lengo kuwapumbaza wananchi wake wasijue chochote ili wabakie madarakani, kama ilivyo mtaji wao mkubwa ni ujinga na umasikini
 
Back
Top Bottom