Kutumbua jipu Nchi itayumba?

Kutumbua jipu Nchi itayumba?

Nashauri hiyo mahakama ya mafisadi ipakwe rangi ya kijani na iwe na bendera ya ccm....maana mafisadi wapo ccm.

Haujui kuwa kwenye hiyo orodha yumo Lowasa,Rostam,Sumaye,Karamagi na wengi waliokuwa nyuma ya Lowasa na sasa Ukawa?
 
Hiyo mahakama itakuwa jengo tu, itawakamata watu wadogo kama matrafki na wengine. Upande wa vigogo watasema "kama kuna mwananchi mwenye ushahidi kwamba kigogo X ni fisadi auwakilishe".

Kwako ni nini tafsiri ya watu wadogo?Kwa hyo mdogo akila rushwa aachwe siyo?
 
Pombe ana kazi ya kusafisha na atasafisha maana hiyo ndio kazi aliyopewa na Watanzania.
 
tatzo letu watz tuna ugonjwa wa usahaulifu sana km kuku vile...yn mijitu ishakengeuka tayar na kuiona CCM hii et ipo na itakuwa tofauti na CCM zingine hahaha
Watanzania aka Nyumbu ndo wataendelea kuwa chakula cha Mamba(CCM) milele cz of their stupid mindset

Patamu sana hapa,,, lakini bro watanzania hawa hawa waliambiwa LOWASSA FISADI halafu walewale waliosema LOWASSA fisadi na ushahidi wanao wakasema sio fisadi na ushahidi wanao halafu tukaambiwa mwenye ushahidi aende mahakamani au shutup,, watanzania hawa wakaucheza huu wimbo na wengine tukalalamika tukaitwa Fisiem na kejeli nyingi sana!!! Sasa wabongo hawa hawa tena hata wale ambao hawakumchagua JPM wameamua kumuunga mkono JPM sasa mnaaza tena kuwakejeli wapiga kura wenu,,,
LENGO NI TANZANIA ISONGE MBELE KWA KUONGOZWA NA YEYOTE YULE NA SIO KUWAKATISHA TAMAA WALE WENYE NIA YA DHATI..
 
Hii kauli ilimaanisha hata mkuu wa kaya naye alikuwa mla rushwa???
 
CCM ndiyo Mafisadi na ufisadi ndiyo jipu.
Magufuli ataanzia wapi kumtumbua kikwete?

Kaanza jana hiyo hiyo mkuu! Zile kauli zake za kuumbua kama vile ni mpinzani, zilikuwa ni za kutumbua jipu kabisa! Alivyoshikilia bango swala la safari za nje, na mambo ambayo yangaliweza kufanyika kwa kiasi cha pesa kilichotumika kwa safari za "baadhi" ya Wizara & Idara za serikali bila kugusa kabisa safari za "Ofisi ya Rais", ilikuwa ni kumtumbua JK jipu hadharani kabisa!!!
 
Patamu sana hapa,,, lakini bro watanzania hawa hawa waliambiwa LOWASSA FISADI halafu walewale waliosema LOWASSA fisadi na ushahidi wanao wakasema sio fisadi na ushahidi wanao halafu tukaambiwa mwenye ushahidi aende mahakamani au shutup,, watanzania hawa wakaucheza huu wimbo na wengine tukalalamika tukaitwa Fisiem na kejeli nyingi sana!!! Sasa wabongo hawa hawa tena hata wale ambao hawakumchagua JPM wameamua kumuunga mkono JPM sasa mnaaza tena kuwakejeli wapiga kura wenu,,,
LENGO NI TANZANIA ISONGE MBELE KWA KUONGOZWA NA YEYOTE YULE NA SIO KUWAKATISHA TAMAA WALE WENYE NIA YA DHATI..
Umenikumbusha jinsi tulibyotukanwa na watu wa lowasa. Kuna jamaa yangu mmoja mpaka alipata kusema eti wanaomshabikia Dr Magufuli akili zao zimefungwa! Sasa nikajiuliza hivi yeye anayeshabikia jizi lowasa na anajua mpaka akina lema wanataka liuawe kwa kuchomwa moto amesahau??
 
Itayumba familia yake na yeye mwenyewe lakini siyo nchi!
 
Jipu litumbuliwe tena sio kwa kutumia pini bali mkuki wenye kutu uhusike.
 
Huyu mkurugenzi wa takukuru naye ni jipu linalohitaji kutumbuliwa.
 
Mi unasubiri hiyo mahakama ya mafisadi nione itafanyaje kazi,,,,,wapi mafisadi walioshindikana kama akina chenge,,,tibaijuka, ,,muhongo. E.T.c natamani kuona wakipandishwa kizimbani
Asee Chenge hawamuwezi.Wakimshtaki hii nchi itayumba.Wamuache tu.
 
Nashauri hiyo mahakama ya mafisadi ipakwe rangi ya kijani na iwe na bendera ya ccm....maana mafisadi wapo ccm.

Wapiga madili wote, wawe CCM, UKAWA wasio na vyama na wengineo; wakiwa na majipu YATATUMBULIWA. Hakika hii ni habari mbaya sana kwa kila mwenye MA/JIPU
 
Back
Top Bottom