Wataichukuaje mkuu hawawezi,hapo huyo jamaa kawahi kuitoa ilivyoingiaDaaah! Pole sana,sometimes nadhani hawa watu wa mitandao sio waaminifu unakuta immediately wanakwambia ishatolewa,kumbe wanafanya mchakato waichukue wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pesa inapotea vizuri kabisa yani.na kama jamaa ni mjanja pia humpatiKama kweli umeambiwa hivyo basi huyo operator wa siku ni eidha mgeni au atamtafuta mhusika kwa wakati wake wamalizane. Pesa haiwezi potea kwa sasa ktk mitandao ingawa inaweza chelewa kurudi. Labda uwe umetuma ktk namba ambayo 'haijasajiliwa' KAMA hii inawezekana.
Wewe ndo mjinga zaidi kuliko hata aliyetuma ki-makosa hiyo pesa. Unasema hakuna pesa inayopotea wakati hiyo imepotea!?? Hiyo ni transaction halali imefanyika,na kwenye mtandao hawawezi kujua km umekosea mpaka utoe taarifa km hizo. Km pesa imetolewa hiyo siyo kesi tena ya kampuni ya simu. Ni kwa wewe mteja kwenda police kutoa taarifa na ww ndo ufanye taratibu za kumpata mwizi wako ili police wamkamate. Lkn tukirudi kwa mtumaji,nae pia mjinga,hivi kutuma pesa unakoseaje!?? Unatuma pesa laki 4 halafu hujui unamtumia nani!!!? Maana km unamjua huwezi kukosea,kwa sababu jina linatoka kabla hujaruhusu hiyo pesa! Watanzania tujifunze kuwa makini kwenye issue muhimu hasa zinazohusu pesa...huku unapoteza muda
hakuna pesa inayopotea katika mitandao kwa sababu wote wameandikishwa na wanajulikana wanakoishi na Mjumbe wao wa mtaa,
ndio maana tunasisitiza kuwasiliana na Operator wa mtandao wako mara mojapesa yako utaipata
Mfano mzuri ni hawa wanaokopesha mfano TIMIZA, Branci, Tala nk hawawajui wateja lkn huwezi waibia kwai kila mmoja ana anwani kamili
MY TAKE
Habari zako si za kweli kwani hujatuwekea no. ya huyo mwizi na mtandao anaotumia
ni sasa hivi tutamnanga na nduguze watamjua na utarudishiwa asubuhi
tafadhali weka namba zake hapa JF
Duuu, kweli chuma kimekaza, watu wako tayari kwa lolote!ona mimi nilichokifanya
Sikumoja nilikosea nikatuma Tsh.250,000 kwa *wrong number*, baada ya kuona hilo, niliamua kujaribu kutuma sms ya kutisha alieipokea hela hiyo...
Text hiyo niliiandika hivi,
_*Habari yako rafiki, naitwa Otiko, ni balozi wa kanisa jipya la Shetani hapa Tanzania. Ni tumaini langu umeiona posho yetu uanachama ya Tsh.250,000 tumekutumia TIGOPESA ili kujiunga na kanisa letu la Shetani. Huo ni mwanzo tu wa mambo mazuri yanakuja. Usiku wa leo tuna mkutano ambapo tutachinja watu watatu kwa ajili ya kafara. Tumekubaliana kufanya kafara hii katika viwanja vya nyumbani kwako mida ya saa nane za usiku na unatakiwa uchague mmoja wa watu unawapenda ili tunywe damu yake pia. Lakini kama hungependa kujiunga katika kanisa letu hili la Shetani, rudisha hiyo pesa kwa namba yangu hii hii"*_
Baada kama ya dk 10, nikapokea sms inasema, _*"Oyoo bro, kama vp tuma Tsh.250,000 nyingine kuna mshikaji wangu nae kavutiwa na kanisa lenu"*_
Kidogo nizimie🤣
Yaani watu vyuma vimekaza kiasi kwamba wako tayari kwa lolote
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndivyo wafanyavyo.Laki nne ndefu usawa huu,jamaa anaweza akabadili na laini kabisa ili usimpte
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajibu only that simple, sasa nini maana ya watu kusajili laini na vitambulisho serious they must be smart than thisWanasema alie pokea kashaitoa tayari, nasiwezi ipata tena.
Ila now naenda police.
Hahaha mimi ningerudishaona mimi nilichokifanya
Sikumoja nilikosea nikatuma Tsh.250,000 kwa *wrong number*, baada ya kuona hilo, niliamua kujaribu kutuma sms ya kutisha alieipokea hela hiyo...
Text hiyo niliiandika hivi,
_*Habari yako rafiki, naitwa Otiko, ni balozi wa kanisa jipya la Shetani hapa Tanzania. Ni tumaini langu umeiona posho yetu uanachama ya Tsh.250,000 tumekutumia TIGOPESA ili kujiunga na kanisa letu la Shetani. Huo ni mwanzo tu wa mambo mazuri yanakuja. Usiku wa leo tuna mkutano ambapo tutachinja watu watatu kwa ajili ya kafara. Tumekubaliana kufanya kafara hii katika viwanja vya nyumbani kwako mida ya saa nane za usiku na unatakiwa uchague mmoja wa watu unawapenda ili tunywe damu yake pia. Lakini kama hungependa kujiunga katika kanisa letu hili la Shetani, rudisha hiyo pesa kwa namba yangu hii hii"*_
Baada kama ya dk 10, nikapokea sms inasema, _*"Oyoo bro, kama vp tuma Tsh.250,000 nyingine kuna mshikaji wangu nae kavutiwa na kanisa lenu"*_
Kidogo nizimie🤣
Yaani watu vyuma vimekaza kiasi kwamba wako tayari kwa lolote
Sent using Jamii Forums mobile app
Report police na tafuta police anayehusikana mambo ya cyber crime mpe hata 50 ili mambo yaende haraka.. baada ya kufanya haya kazi imesha isha. Atawasiliana na customer care kisha ataomba mawasiliano ya watu wa karibu wa yule mtu aliye chukua ile pesa yaan no anazowasiliana nazo mara kwa mara na atawatumia hao watu kuwabana na ukipata hela yakoNina uhakika hili ni jukwaa sahihi kwa tatizo lililo nikuta.
Leo mida ya saa 6 na 15 mchana nili tuma pesa kimakosa, haikufika kwa mlengwa, ilienda kwa mtu tofauti.
Nili jaribu kuwa pigia customer service wa mtandao husika ila nika ambiwa kuwa hela imekwisha tolewa tayari, siwezi ipata tena. Ni Tsh 400,000/=.
Hali ya maisha ni ngumu kwa upande wangu.
Nika jaribu kumpigia aliepokea pesa, alipokea na kusema kwa haraka "Nitakupigia badaye" kisha akakata simu.
Nika jaribu kupiga tena simu haikupatikana mpaka sasa.
Najua humu kuna watu wana jua nisiyo yajua. Kama kuna njia nyingine ya kuipata pesa yangu au kumpata mtu nilie mtumia pesa, please tell me.
Ushauli mzuri, police wa kitengo hcho hupewa kila details za namba iliyopokea hadi na watu wake wa karibu, hvo n rahisi sana kuwapata watu wake wa karibu hata kama atabadili line.Report police na tafuta police anayehusikana mambo ya cyber crime mpe hata 50 ili mambo yaende haraka.. baada ya kufanya haya kazi imesha isha. Atawasiliana na customer care kisha ataomba mawasiliano ya watu wa karibu wa yule mtu aliye chukua ile pesa yaan no anazowasiliana nazo mara kwa mara na atawatumia hao watu kuwabana na ukipata hela yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina uhakika hili ni jukwaa sahihi kwa tatizo lililo nikuta.
Leo mida ya saa 6 na 15 mchana nili tuma pesa kimakosa, haikufika kwa mlengwa, ilienda kwa mtu tofauti.
Nili jaribu kuwa pigia customer service wa mtandao husika ila nika ambiwa kuwa hela imekwisha tolewa tayari, siwezi ipata tena. Ni Tsh 400,000/=.
Hali ya maisha ni ngumu kwa upande wangu.
Nika jaribu kumpigia aliepokea pesa, alipokea na kusema kwa haraka "Nitakupigia badaye" kisha akakata simu.
Nika jaribu kupiga tena simu haikupatikana mpaka sasa.
Najua humu kuna watu wana jua nisiyo yajua. Kama kuna njia nyingine ya kuipata pesa yangu au kumpata mtu nilie mtumia pesa, please tell me.
Ni ujinga wako mwenyewe
Kanla ys kutuma unahakiki jina na # kishs unathibitisha...labda ew kipofu
Mtu yoyote anayemiliki line ya simu lazima awe na vitambulisho sahihi na anapigwa picha ili kuthibitisha kuwa ni yeye hata kama atatumia sura na kitambulisho cha mtu mwingine ni dhahiri kuwa mtu huyo anaukaribu na mtu huyo. Customer care hujibu hivyo ili kuepusha mlolongo wa maswali na kesi zinazohusu masuala ya mtandao. Kwa hali ya sasa ya ukuaji wa Tecknolojia mtu ukipata namba ya simu yake umempata kwa sasabb watu wengi wanatumia vitambulisho vya kupigia kura na wanapiga picha.Walicho nambia hakina matumaini, walisema alie pokea tayari kaitoa.