Walicho nambia hakina matumaini, walisema alie pokea tayari kaitoa.Pole sana mkuu,mhudumu wa mtandao wako kakuambia nini kifanyike ili upate pesa yako..!?kwasababu wao ndio wenye taarifa za aliyepokea pesa kimakosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa.Daaah! Pole sana,sometimes nadhani hawa watu wa mitandao sio waaminifu unakuta immediately wanakwambia ishatolewa,kumbe wanafanya mchakato waichukue wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza vizuri ila umeharibu mwisho.huku unapoteza muda
hakuna pesa inayopotea katika mitandao kwa sababu wote wameandikishwa na wanajulikana wanakoishi na Mjumbe wao wa mtaa,
ndio maana tunasisitiza kuwasiliana na Operator wa mtandao wako mara mojapesa yako utaipata
Mfano mzuri ni hawa wanaokopesha mfano TIMIZA, Branci, Tala nk hawawajui wateja lkn huwezi waibia kwai kila mmoja ana anwani kamili
MY TAKE
Habari zako si za kweli kwani hujatuwekea no. ya huyo mwizi na mtandao anaotumia
ni sasa hivi tutamnanga na nduguze watamjua na utarudishiwa asubuhi
tafadhali weka namba zake hapa JF
acha hadithi za ShigongoUmeanza vizuri ila umeharibu mwisho.
Wanasema alie pokea kashaitoa tayari, nasiwezi ipata tena.Pole sana mkuu,mhudumu wa mtandao wako kakuambia nini kifanyike ili upate pesa yako..!?kwasababu wao ndio wenye taarifa za aliyepokea pesa kimakosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kweli umeambiwa hivyo basi huyo operator wa siku ni eidha mgeni au atamtafuta mhusika kwa wakati wake wamalizane. Pesa haiwezi potea kwa sasa ktk mitandao ingawa inaweza chelewa kurudi. Labda uwe umetuma ktk namba ambayo 'haijasajiliwa' KAMA hii inawezekana.Walicho nambia hakina matumaini, walisema alie pokea tayari kaitoa.
Yaani aweke namba hapa ya huyo mtu ili iweje? Acha ujanja wako wewe. Umeshaona fursa.acha hadithi za Shigongo
weka namba za huyo aliyechukua 400,000.00 tumuombee, tupige kipapayu, tumlaani, tumuaibishe
Laki nne si mchezo kwa usawa huu unashindwa kumripoti
Hela imeshatolewa mkuu kuipata ni ngumu, ingekuwa bado ipo kwenye simu ingewezekana lakini kwa hapo ni kumuombea tu huyo uliyemtumia apate moyo wa huruma ili akurudishieNina uhakika hili ni jukwaa sahihi kwa tatizo lililo nikuta.
Leo mida ya saa 6 na 15 mchana nili tuma pesa kimakosa, haikufika kwa mlengwa, ilienda kwa mtu tofauti.
Nili jaribu kuwa pigia customer service wa mtandao husika ila nika ambiwa kuwa hela imekwisha tolewa tayari, siwezi ipata tena. Ni Tsh 400,000/=.
Hali ya maisha ni ngumu kwa upande wangu.
Nika jaribu kumpigia aliepokea pesa, alipokea na kusema kwa haraka "Nitakupigia badaye" kisha akakata simu.
Nika jaribu kupiga tena simu haikupatikana mpaka sasa.
Najua humu kuna watu wana jua nisiyo yajua. Kama kuna njia nyingine ya kuipata pesa yangu au kumpata mtu nilie mtumia pesa, please tell me.
mkuu hapa sijakuelewa..umesema wale Timiza ,branch na wengine huwezi waibia??huku unapoteza muda
hakuna pesa inayopotea katika mitandao kwa sababu wote wameandikishwa na wanajulikana wanakoishi na Mjumbe wao wa mtaa,
ndio maana tunasisitiza kuwasiliana na Operator wa mtandao wako mara mojapesa yako utaipata
Mfano mzuri ni hawa wanaokopesha mfano TIMIZA, Branci, Tala nk hawawajui wateja lkn huwezi waibia kwai kila mmoja ana anwani kamili
MY TAKE
Habari zako si za kweli kwani hujatuwekea no. ya huyo mwizi na mtandao anaotumia
ni sasa hivi tutamnanga na nduguze watamjua na utarudishiwa asubuhi
tafadhali weka namba zake hapa JF