Kutuma mzigo(simu moja tu) kutoka United Arab Emirates

C.Thady

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
589
154
Habari ya asubuh Wapendw...
Nahitajikujua ni vipi Naweza kutumiwa mozigo(simu Moja) na mtu aliyepo abu dhabi(emirates). Kwa haraka,usalama na uhakika. Nipo Arusha
 
Ila kuna jamaa angu hapa kaniambia ukituma dhl air express ni 2-3 days ... Cha msingi nenda ofis zao watakupa info zaid
 
Back
Top Bottom