Abdistar Member Joined Feb 26, 2019 Posts 39 Reaction score 26 Jul 5, 2021 #1 Mambo vipi wadau Naomba ushauri kuhusu njia rahisi ya bei nafuu kutuma mzigo CANADA tofauti na POST OFFICE sababu wana bei kubwa sana Pamoja na EMS.
Mambo vipi wadau Naomba ushauri kuhusu njia rahisi ya bei nafuu kutuma mzigo CANADA tofauti na POST OFFICE sababu wana bei kubwa sana Pamoja na EMS.
Ugumu wangu JF-Expert Member Joined May 6, 2021 Posts 1,684 Reaction score 3,557 Jul 5, 2021 #2 Abdistar said: Mambo vipi wadau Naomba ushauri kuhusu njia rahisi ya bei nafuu kutuma mzigo CANADA tofaut na POST OFFICE sababu wana bei kubwa sana Pamoja na EMS Click to expand... Sasa hii ndio njia na bei rahisi zaidi kuliko.
Abdistar said: Mambo vipi wadau Naomba ushauri kuhusu njia rahisi ya bei nafuu kutuma mzigo CANADA tofaut na POST OFFICE sababu wana bei kubwa sana Pamoja na EMS Click to expand... Sasa hii ndio njia na bei rahisi zaidi kuliko.
Abdistar Member Joined Feb 26, 2019 Posts 39 Reaction score 26 Jul 5, 2021 Thread starter #3 Duh ni hatari sababu kg 10 ni laki 3 na zaidi.
Ugumu wangu JF-Expert Member Joined May 6, 2021 Posts 1,684 Reaction score 3,557 Jul 5, 2021 #4 Jaribu DHL Abdistar said: Duh ni hatari sababu kg 10 ni laki 3 na zaid Click to expand...
kayaman JF-Expert Member Joined Aug 3, 2013 Posts 4,516 Reaction score 10,436 Jul 5, 2021 #5 Kama ukishindwa bei ya Posta hao wengine hutawaweza.
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 20,455 Reaction score 36,446 Oct 1, 2021 #6 Abdistar said: Mambo vipi wadau Naomba ushauri kuhusu njia rahisi ya bei nafuu kutuma mzigo CANADA tofauti na POST OFFICE sababu wana bei kubwa sana Pamoja na EMS. Click to expand... Habari mkuu. Ulifanikiwa kutuma? Ulitumia kampuni gani?
Abdistar said: Mambo vipi wadau Naomba ushauri kuhusu njia rahisi ya bei nafuu kutuma mzigo CANADA tofauti na POST OFFICE sababu wana bei kubwa sana Pamoja na EMS. Click to expand... Habari mkuu. Ulifanikiwa kutuma? Ulitumia kampuni gani?
jaomjazymee New Member Joined Nov 25, 2022 Posts 3 Reaction score 1 Nov 26, 2022 #7 mama D said: Habari mkuu. Ulifanikiwa kutuma? Ulitumia kampuni gani? Click to expand... naomba nikuulize kama ulifanikiwa kutuma pia na ulitumia njia gani
mama D said: Habari mkuu. Ulifanikiwa kutuma? Ulitumia kampuni gani? Click to expand... naomba nikuulize kama ulifanikiwa kutuma pia na ulitumia njia gani