Kutuma mizigo kwenda Kenya

Kutuma mizigo kwenda Kenya

Flamegood

Senior Member
Joined
Oct 27, 2018
Posts
129
Reaction score
293
Habarini,

Nilikuwa nahitaji mwenye ujuzi, uzoefu wa kutuma mizigo worldwide aniambie ni wapi naweza kutuma mzigo wangu kwenda Mombasa Kenya kwa uhakika zaidi na gharama nafuu, ahsanteni
 
1. Posta

2. Kwa Bus

Itategemea upo wapi.
 
Habarini,
Nilikuwa nahitaji mwenye ujuzi, uzoefu wa kutuma mizigo worldwide aniambie ni wapi naweza kutuma mzigo wangu kwenda Mombasa Kenya kwa uhakika zaidi na gharama nafuu, ahsanteni
Kama Ni Mahindi, subiria Muongozo. Vinginevyo tumia Tahmeed
 
Back
Top Bottom