Kutowapa mikopo baadhi ya wanafunzi wa elimu ya juu serikali haina utetezi

Sir Kimaro MEJ

New Member
Sep 21, 2012
1
0
Kwa wale wanaofuatilia masuala ya kielimu tunakumbuka wazi kuwa serikali ilijitapa kuongeza mikopo kwa idadi kubwa
ya wanafunzi wa vyuo vikuu. kinyume na ukweli huo karibu 85% ya wanafunzi wahitimu wa kidato cha sita kuanzia mwaka 2008 kurudi numa wamekosa mkopo!!! swali langu ni kwamba kwa hali hii serikali inafikiri imewatendea haki hawa wanafunzi ambao kwa kipindi chote hicho walishindwa kijiuunga na vyuo vikuu kutokana na hali zao za kiuuchumi kuwa mbaya. Kwa kitendo hiki serikali haina na cha kujitetea hata kidogo. Kitakachofuata ni raia kukosa imani na serikali yao. Wale wote wenye dhamana na suala hili fikirie mara mbili kwani mmewaumiza walio wengi!!!!!!!

TAFAKARI!!! CHUKUA HATUA!!!:embarassed2:
 
Back
Top Bottom