Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,882
huu uzi hadi kesho komenti zake zitakua hazihesabiki kwa namna wabongo tunavopenda papuchi na mambo kama hayoJaribuni hata mwezi mmoja tu muone
Kwahiyo hapo ulipo hujavaa???😀😀😀
Lazima nivae chupi,ila usiku ndo huwa sivai
Nisivae Mara ngapi Mkuu?Usivae ww afu baada ya mwezi mmoja uje kutupa mrejesho.ova
Hivi umewaza nn swali la kizushi tuu!![emoji5][emoji5]
Kweli jaribu uoneHahhaha unawazimu wewe
Unataka picha ya nini sasa
Embu kuwa specific
I wish mnieleweNakumbuka ulishawahi tena kuongelea jambo hili mwaka juzi 2016. Ulisema unavaa dela bila kyupi. hahahahahah