Wewe upo pande zipi...Mademu hawa wote wa bure bure....au mwenzetu upo jupiterIla jamani hasa ukiwa hauna hela kutongoza mdada mpya na kuanzisha mahusiano mapya ni ngumu sana msione watu wanarudia ma ex zao huku nje kupata mtu mpya muaze maisha mapya mpaka mje mzoeane mpeane siri sio leo na wala sio rahisi mpaka mtu akukubalie na akuamini itabidi ufanye kazi.
Hapa unaakiwa kudili na Mabeki tatu tuu mzee😂😂😂Atakaenipenda nilivyo
Maelezo mengiii, ungeishia kusema kama huna hela mwanamke anakuona takataka.Ila jamani hasa ukiwa hauna hela kutongoza mdada mpya na kuanzisha mahusiano mapya ni ngumu sana msione watu wanarudia ma ex zao huku nje kupata mtu mpya muaze maisha mapya mpaka mje mzoeane mpeane siri sio leo na wala sio rahisi mpaka mtu akukubalie na akuamini itabidi ufanye kazi.
TUMFUNDISHE TENA , NYETO IKO APPLICABLE KOTE KOTEKuna mapenzi ya Nyumbani au ukiwa Chuo, Na kuna Mapenzi Ukiwa Umejichanganya Mtaani.
Upo kazingira yapi hapo ?
Unataka demu mwenye hulka zipi ?
Church girl, Beki tatu, Mfanyakazi, Mkaa kwako, mpanga geto?
Ukijua hizi Code tu, Utaelewa Demu gani kwako ni rahis kumpata. Simple. 😁
Ewaa 😁TUMFUNDISHE TENA , NYETO IKO APPLICABLE KOTE KOTE
Kuna ka ukweli fulani hapo... ila najua hela inakupa confidence kwa asilimia kadhaa ila tunawajua maboya wenye hela zao na wanasumbuliwa na hayo mahusiano japo kuwa wana honga sana na kutatua shida za madame zao. Kikubwa jiamini tu mpaka sasa hatujui nini wanataka hao wanawakeIla jamani hasa ukiwa hauna hela kutongoza mdada mpya na kuanzisha mahusiano mapya ni ngumu sana msione watu wanarudia ma ex zao huku nje kupata mtu mpya muaze maisha mapya mpaka mje mzoeane mpeane siri sio leo na wala sio rahisi mpaka mtu akukubalie na akuamini itabidi ufanye kazi.
Ndio ufanye kazi sasa mkuu. Acha kazi ufanye kazi. Kazi ndio kipimo cha utu mkuu, unaogopaje kufanya kazi.😂😂😂😂wala sio rahisi mpaka mtu akukubalie na akuamini itabidi ufanye kazi.
Naomba azingatie neno NJIAHamna ugumu bila kujali una pesa ama huna. Tembea kwenye njia yako tuu.😂😂😂
Muulize hip hop uchwaraHii sio hip hop
Aisee ujue huyu mwamba akikuzingatia unaweza mpa shule ya kumsaidia sana😂Mwenye pesa atawapata wanaopenda pesa vivyo hivyo kwa asiye nazo....
Wewe unataka demu wa dizaini gani?
Mjuvi😂🙌🙌Naomba azingatie neno NJIA
Mkuu kesi yako ya ndoa inaendeleaje? Tupe updatesAisee ujue huyu mwamba akikuzingatia unaweza mpa shule ya kumsaidia sana😂
I will mkuuMkuu kesi yako ya ndoa inaendeleaje? Tupe updates
Huwa wanajilengesha wenyewe!We huwa unanunua?
Weka code izo broKuna mapenzi ya Nyumbani au ukiwa Chuo, Na kuna Mapenzi Ukiwa Umejichanganya Mtaani.
Upo kazingira yapi hapo ?
Unataka demu mwenye hulka zipi ?
Church girl, Beki tatu, Mfanyakazi, Mkaa kwako, mpanga geto?
Ukijua hizi Code tu, Utaelewa Demu gani kwako ni rahis kumpata. Simple. 😁
Je ataweka kweli ???Weka code izo bro
Ukianza kuona huwezi ku accomplish kitu mpaka uwe na hela basi ujue una umaskini mkubwa sana. It all starts in your mindset, kila kitu kinawezekana. Material things vinakuja kunogesha tu ushindi ambao ulishashinda.Ila jamani hasa ukiwa hauna hela kutongoza mdada mpya na kuanzisha mahusiano mapya ni ngumu sana msione watu wanarudia ma ex zao huku nje kupata mtu mpya muaze maisha mapya mpaka mje mzoeane mpeane siri sio leo na wala sio rahisi mpaka mtu akukubalie na akuamini itabidi ufanye kazi.
TusikilizieJe ataweka kweli ???