Sasa hapo mkuu ndo unatakiwa uwe creative na wewe kabla hujamfata msichana maana wengi wao wanakurupuka mwisho wanaambulia vibuti. Kikubwa ni kumsoma umuelewe mtu unayemtakaWengine ukiongea nao, majibu yao tu yanaonyesha kama ana vuta bangi au mlevi kwa majibu yake tu,
Na hapo ni pale mwanzomwanzo tu wa story je mkiendelea na story kweny ile stage ya kushusha vocal si ataanza kuongea kama ana mapepo vile, yann yote hayo bora uonekane domo zege kwa kutunza heshima yako sio kuharibiana cv mchana, mchana wakati huo mtu nwenyewe unae mtongoza kwa kukuangalia tu hana mbele wala nyuma,
Kila anapoitwa anaenda..upumbav gan huo bhana alaaaaah...
Let them get the hell far from us...
The way they cust bad to us is the way they curse them selves and become a budden to their entire life.
Napambana na hali yangu bhana mapenzi baadae.
Mkuu Acha punyeto si nzuriNani kakuambia sisi wapiga punyeto ni madomo zege!?? Kijana angalia maneno yako!!!
Punyeto is all about feelings and emotions!!
Puchu Love It, Live it!!!!
Ni kweli kabisa yaanKumuogopa mtt wa kike n ufala
Kiwango cha mwisho
Hicho ndicho huwa nakifanya mkuu, huwa simkurupukii manzi et kisa nmekutana nae jweny daladala au maeneo flan flan inanihitaji muda kwanza yani hadi kufikia approach stageSasa hapo mkuu ndo unatakiwa uwe creative na wewe kabla hujamfata msichana maana wengi wao wanakurupuka mwisho wanaambulia vibuti. Kikubwa ni kumsoma umuelewe mtu unayemtaka
Mmesoma woteMbona hilo neno tulikuwa tunalitumia shule fulani mwanza wilaya fulani.
Kwa nn mkuu?Mkuu ulivyoandika tu inaonekana na wewe kutongoza sio talent yako
Zama hizi si za puchu badilika mkuu.Mimi napiga vizuri sio sababu ya udomo zege kuacha siwezi maana mi tamu kuliko kipochi manyoya
Kwaiyo unanyetuka?Ivi ukiwa umfatilii mwanamke ni kua una domo zege peke yake,
Coz mim sifatilii wanawake sio kwamba na domo zege hapana, ila nimeumizwa to the extent siwez kuamini kabisa,... So situation kama yangu does it apply na udomo zogo,
Kucheza viduku chooni wanavyoitaMbona hilo neno tulikuwa tunalitumia shule fulani mwanza wilaya fulani.
Mkuu Acha punyeto si nzuri
Athari kubwa kabisa inakuathiri kisaikolojiaUbaya wake ni upi!??
Athari kubwa kabisa inakuathiri kisaikolojia