DENIS MGANYIZI
Member
- Sep 23, 2018
- 6
- 9
Kutongoza Mwisho Mara Tatu Tu Zaidi Ya Hapo Unakua Usumbufu Hata Kwa Yule Unaemtongoza.
Nani kasema. Mtaftaji hakosiKutongoza Mwisho Mara Tatu Tu Zaidi Ya Hapo Unakua Usumbufu Hata Kwa Yule Unaemtongoza.
Mbona kwako nilikosaNani kasema. Mtaftaji hakosi
umenikumbusha siku na gonga kadem fulani getto kuna jamaa kaja kaanza piga hodi mpaka nikaahirisha mechii!!!Gonga hodi mara tatu ya nne ondoka
Kama umesoma kitabu cha Rich dad poor Dad. Mle kuna principle inaitwa 'The principle of persistance' Yaani kanuni ya ung'ng'anizi au kudumu katika jambo, hii ni kanuni kubwa sana na inafanya kazi kila mahala.Itumie utafanikiwa hata kana mwanamke malkia utampata tu.Kutongoza Mwisho Mara Tatu Tu Zaidi Ya Hapo Unakua Usumbufu Hata Kwa Yule Unaemtongoza.
Demu akikujibu shombo mara ya kwanza ndiyo imetoka hvyo simfuatilii tenaKama umesoma kitabu cha Rich dad poor Dad. Mle kuna principle inaitwa 'The principle of persistance' Yaani kanuni ya ung'ng'anizi au kudumu katika jambo, hii ni kanuni kubwa sana na inafanya kazi kila mahala.Itumie utafanikiwa hata kana mwanamke malkia utampata tu.
Wanavunga wajuvi sanaa yani hadi keroo eti new member!! Vipi kama mtu kabadilisha id? Wengine tumefungua akaunti mwez huu ila tumetumia browser kwa miaka kadhaaalaf nyie mnaojifanya wakongwe wajuaji sanaa vipi jf imewajengeaa nyumba ngapi paka saiv?
wanazingua sana wanajikuta wakongwe huku jf hizo tabia zao ni za umama..mtoto wa kiume anajisifu kudumu kwenye mtandao...Wanavunga wajuvi sanaa yani hadi keroo eti new member!! Vipi kama mtu kabadilisha id? Wengine tumefungua akaunti mwez huu ila tumetumia browser kwa miaka kadhaa