Kutongoza mwisho mara tatu

Kutongoza mwisho mara tatu

Tatu zote hizo ili ugundue nini, mara moja inatosha
 
Umenikumbusha mbali ..niliwai tongoza mtoto mmoja akaaanza kulia ..huku anafunguka yaliyojificha apo sitaki kuelewa kitu ni adi kieleweke
 
Mara tatu???? Labda niwe na uhakika ana bikra, Mara moja tu akikataa basi.
 
Mwenye utongoza mara tatu, ukikataa kama nina namb zako nafyekelea mbali, kama wa kitaa full kuchuniana.
 
Acha uoga wewe, kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake. Chochea kuni wewe.....
 
Back
Top Bottom