mchambuzixx
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,292
- 946
hivi siku hizi wanaume tumeshindwa kutongoza au ndo dot com generation mana kila siku humu JF utakutana na uzi mwanaume anatafuta mchumba tena utakuta mtu mwenyewe miaka 30 hadi 35....hayo mambo yalikua kwa wanawake na wengi wao ni wale ambao wameshazidi umri miaka 30 sasa mambo yamegeuka wanaume ndo wengi humu wanatafuta wake jamani sera zimetuishia au mana wanawake wametuzidi kwa milion 3 katika sensa...yaani wote hao ukose hata mmoja duuh