holy spirit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2020
- 884
- 1,400
Mimi nina ushahidi wa wanaokunywa maziwa na kuharisha na kuumwa tumbo Kwa bacterial infectionYes, Mammary glands zipo kwenye Cow's abdomen,... Pitia sources mbalimbali utaona hivyo.
Location between faeces and blood, Ni kama nilivyosema kwamba production ya milk inafanyika near the digestive system ya Cow, which means food inakua transformed into faeces, while some nutrients zinatumika kwenye production ya Milk. (So, it's obvious &clear kwamba mpaka digestion inakamilika damu na faeces zinakua zishatengana)... Hivyo specifically area between faeces and blood Ni hapo kwenye Digestive System.
Hao bacteria kama salmonella kupelekea kuharisha kwa binadamu binafsi sijawahi kuona,.. na sio kila kitu mpaka uambiwe au uishie kusoma unaweza uka prove mwenyewe... Watu wanakunywa na hakuna kuharisha wala kuumwa tumbo, na Mimi binafsi ni shahidi wa hilo.
Naked eyes hazitoshi ku prove ukweli. NDO MAANA Kwa naked eyes mtu aliona maziwa meupe masafi yanatoka akajua yako pure kumbe Kuna vitu naked eyes hazioni hivyo hivyo kwa land surface.Hizo plate tectonics unazosema,, hazifanyi ardhi isionekane tambarare au imetandazwa.
Unasema aloandika kaona Iko flat akaandika, hata kama ingekua unasema kweli , lakini tujiulize,Je zamani walikua hawaoni milima? au miteremko?
The fact ni kwamba sehemu kubwa ya ardhi imetandazwa ipo wazi, hata wewe ni shuhuda wa hilo.
"The Land surface appears to be spread-out to the naked eye". Prove me wrong
Sasa kama umekili with a naked-eye unaona kabisa ardhi ipo flattened. Huna haja ya kufanya critical examination with regard to what Qur'an imesema,.. maana Qur'an hasa Imekusudia kile ambacho tunakiona kwa macho ambacho ndiyo uhalisia wenyewe kwamba Earth is flattened Spread out.To the naked eye ni kweli Iko spread out lakini under critical geographical examination haiko hivyo. Na aliendika alikuwa hajawahi kukutana na vifaa wala kufanya land surveying Kwa hiyo aliangalia tu akasema hivyo, anaweza kusameheka Kwa kuwa aliishi zamani sana ila now na advancement yote hii kwenye land survey useme the land is spread out like a carpet sijui utakuwa ignorant kiasi gani.
Kamwambie land surveyor yoyote hivyo uone kama atakubaliana na wewe
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Ivi vitabu vinapatikana wapi?kama angesoma vitabu vingine pia kama Torat, Zaburi, Injil,
Hapana sio kwenye Digestive System, it's near the digestive system,... Maana mammary glands zipo karibu na Digestive System., Na ndiyo hapo kwenye Digestive System ambapo mtengano kati ya faeces na blood hutokea.Kama hio specific area between feaces and blood ni kwenye digestive system maana ake andiko linasema kwamba maziwa ya n'gombe yanatengenezwa kwenye digestive system yake si ndio?
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Huo ushahidi wako kwenye uhalisia labda ni 0.00% of the whole population ambao wakinywa Maziwa kutoka kwa Ng'ombe wanaharisha na kuumwa tumbo., Maana Mimi ninavyofahamu kama unaumwa tumbo, ukinywa Maziwa mara nyingi tumbo hutulia.Mimi nina ushahidi wa wanaokunywa maziwa na kuharisha na kuumwa tumbo Kwa bacterial infection
Pia kuna watu ambao ni lactose intolerant maziwa yanawavuruga tumbo hata bacteria wasipokuwepo
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Okay ngoja niulize swali... Maziwa (raw milk) ambayo hayajafanyiwa processing yoyote na yale ya viwandani yapi ni salama zaidi kwa kunywa?Naked eyes hazitoshi ku prove ukweli. NDO MAANA Kwa naked eyes mtu aliona maziwa meupe masafi yanatoka akajua yako pure kumbe Kuna vitu naked eyes hazioni hivyo hivyo kwa land surface.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Milima imetajwa na kitabu chenu kuwa ni kama "anchors" zinazoshikilia dunia isitikisike (huu ni uongo sio kazi ya milima),
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Kumbuka Allah anatakiwa kuwa mungu, sasa guessing za nini?Hapana sio kwenye Digestive System, it's near the digestive system,... Maana mammary glands zipo karibu na Digestive System., Na ndiyo hapo kwenye Digestive System ambapo mtengano kati ya faeces na blood hutokea.
Nadhani imeeleweka.
Who is guessing?Kumbuka Allah anatakiwa kuwa mungu, sasa guessing za nini?
Allah kachemka , maziwa lazima uchemshe ndio unywe kuna mpaka brucella kwenye maziwaMaziwa yanatumika kama dawa pia,... So they are so beneficial ¬ the way you want us to believe... Kama unanisoma hapa kuna upande wa practical na theory wewe ume base kwenye theory., Lakini kwenye ground ndiyo uhalisia wa mambo ulipo.
Ahsante.
Allah , Kwanini asitaje straight nyie ndio mnamsaidiaWho is guessing?
Kwani hajataja straight?! Au wewe ndiyo una shida... Yeye ndiyo anajua viumbe wake kuliko hata mwanasayansi yoyote.Allah , Kwanini asitaje straight nyie ndio mnamsaidia
Hajataja ameweka bla bla , kumbuka Allah pia kasema nyuki wanakunya asali πππKwani hajataja straight?! Au wewe ndiyo una shida... Yeye ndiyo anajua viumbe wake kuliko hata mwanasayansi yoyote.
So, relax mzee.... na just nikufahamishe tu anachosema Allah ni 100% ukweli ipo hivyo. Hao watafiti leo wanasema hivi kesho wakijua vingine wanabadilisha.
So, kwa akili yako...which is genuine & accurate source to believe in,..?
Umesoma andiko kama lilivyo au unalitafsiri unavyotaka. Andiko halijasema location near the digestive system limesema location between feaces and blood, unalibadili la nini?Hapana sio kwenye Digestive System, it's near the digestive system,... Maana mammary glands zipo karibu na Digestive System., Na ndiyo hapo kwenye Digestive System ambapo mtengano kati ya faeces na blood hutokea.
Nadhani imeeleweka.
Okay, sidhani kama upo serious , Mimi nipo hapa kujifunza na sioni dalili za kujifunza kutoka kwako.Hajataja ameweka bla bla , kumbuka Allah pia kasema nyuki wanakunya asali πππ
Wapi nimelibadili sasa?Umesoma andiko kama lilivyo au unalitafsiri unavyotaka. Andiko halijasema location near the digestive system limesema location between feaces and blood, unalibadili la nini?
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Kubishana na uhalisia Ili ku justify makosa ya kitabu chako cha diniHuo ushahidi wako kwenye uhalisia labda ni 0.00% of the whole population ambao wakinywa Maziwa kutoka kwa Ng'ombe wanaharisha na kuumwa tumbo., Maana Mimi ninavyofahamu kama unaumwa tumbo, ukinywa Maziwa mara nyingi tumbo hutulia.
Watu wachache kuwa lactose intolerant haifanyi Maziwa kuwa sio salama kwa kunywa.
Maziwa yanatumika kama dawa pia,... So they are so beneficial ¬ the way you want us to believe... Kama unanisoma hapa kuna upande wa practical na theory wewe ume base kwenye theory., Lakini kwenye ground ndiyo uhalisia wa mambo ulipo.
Ahsante.
Vipi research ambazo tunafanya sisi wa Africa wenyewe na tunagundua mzungu alichokisema mwanzo ni kweli lakini sisi tuliita biashara?Okay ngoja niulize swali... Maziwa (raw milk) ambayo hayajafanyiwa processing yoyote na yale ya viwandani yapi ni salama zaidi kwa kunywa?
Kila kitu kipo sehemu yake sahihi, bacteria unaowaona kwenye Maziwa,. Hawapo kwenye Maziwa kwa bahati mbaya na ndiyo maana Maziwa yakitoka yanakua salama kwa kunywa kwa Ndama wa Ng'ombe au hata binadamu wanakunywa tu bila madhara yoyote.
Huenda unaamini kwamba kila unachoambiwa na the so-called researchers ni ukweli 100%. kumbuka in this world everything is tradable,. People are trying to monetize everything,. Hata kwenye health sector pia ipo hivyo,. so be careful brother.