Utawala wa Saddam uliangushwa kama wa huyo msoviet mwingine uliyemtaja. Utawala wa CCM ungali madarakani. Hatua za kuufurusha madarakani haziwezi kumtenga awaye yote.
View attachment 2427576
Huyu nguli ana maana yoyote kwako, au nguli ni wewe naye ni kidampa tu?
Siasa za chuki na visasi hazina manufaa yoyote balu ni kujilisha upepo tu. Ukishiba usiache kutuletea mrejesho.