Mimi nawaunga mkono, pia yupo WARIONA na BUTIKU, tupo wengi kwahiyo acha kuudanganya uma kwambo hawana uungwaji mkono kabla hujafanya utafiti wa kutosha.
Labda wewe ndio haukuwaunga mkono.
Kla mtu na shida zake ugomvi wao kwa maslai yao binafsi
Nakupa ushauri wa bure usithubutu kumuamini mwanasiasa yoyote.Haki ni haki bila kujali maslahi binafsi ya awaye yote. Kwa bahati mbaya tumekuwa wabinafsi tusiotaka kuwa sehemu ya kupigania haki hizo.
Tumekuwa kama wapenzi watazanaji wengine wanapojaribu kuuwasha moto.
Imekuwa fulani kasema hivi, fulani kasema vile. Sisi tumesema nini fulani anaposema la maana hata kama hatumpendi? Hatuna hata kauli za mshikamano?
Izingatiwe zimekuwapo kauli nzito za maaskofu kama Mwingira, Shoo na hata mzee wa Upako au Sheikh Ponda. Kwani kulikuwa matamshi hata ya mshikamano tu kutokea wapi?
Kwa hakika kama watanzania tuna matatizo mtambuka tena yaliyo endelevu:
1. Siasa za Chuki, Tanzania tunakwama Wapi?
2. Tuungane mkono dhidi ya Kunyamazishwa
3.Msamaha kubutuliwa, Ndugai aungwe mkono
4.Kujiuzulu kwa Ndugai: Hongereni CHADEMA na NCCR japo haikutosha
5.Aungwe Mkono Askofu Mwingira kukemea Maovu
7. Mizengo Pinda: Tuanze mchakato wa kuwa na Tume huru ya Uchaguzi
8.Katiba Mpya haitakuja kwa Maneno Matupu
Hawakuungwa mkono kina Ndugai, Polepole, Pinda, Kitila Mkmbo na leo tunayaona kwa Bashiru.
Ukombozi ni jitihada za wote waliokuwamo na hata wasiokuwamo.
Ukombozi si suala binafsi au watu fulani ati kwamba ni hao tu from the scratch.
Wanasapoti ya kutosha sana,waendelee kutokuwa waogaHaki ni haki bila kujali maslahi binafsi ya awaye yote. Kwa bahati mbaya tumekuwa wabinafsi tusiotaka kuwa sehemu ya kupigania haki hizo.
Tumekuwa kama wapenzi watazanaji wengine wanapojaribu kuuwasha moto.
Imekuwa fulani kasema hivi, fulani kasema vile. Sisi tumesema nini fulani anaposema la maana hata kama hatumpendi? Hatuna hata kauli za mshikamano?
Izingatiwe zimekuwapo kauli nzito za maaskofu kama Mwingira, Shoo na hata mzee wa Upako au Sheikh Ponda. Kwani kulikuwa matamshi hata ya mshikamano tu kutokea wapi?
Kwa hakika kama watanzania tuna matatizo mtambuka tena yaliyo endelevu:
1. Siasa za Chuki, Tanzania tunakwama Wapi?
2. Tuungane mkono dhidi ya Kunyamazishwa
3.Msamaha kubutuliwa, Ndugai aungwe mkono
4.Kujiuzulu kwa Ndugai: Hongereni CHADEMA na NCCR japo haikutosha
5.Aungwe Mkono Askofu Mwingira kukemea Maovu
7. Mizengo Pinda: Tuanze mchakato wa kuwa na Tume huru ya Uchaguzi
8.Katiba Mpya haitakuja kwa Maneno Matupu
Hawakuungwa mkono kina Ndugai, Polepole, Pinda, Kitila Mkmbo na leo tunayaona kwa Bashiru.
Ukombozi ni jitihada za wote waliokuwamo na hata wasiokuwamo.
Ukombozi si suala binafsi au watu fulani ati kwamba ni hao tu from the scratch.
Sapoti ya wazi wazi inatia hamasa zaidi na yenye kumtoa nyoka pangoni Sapoti tokea vyumbani ndiyo haimnyimi adui usingizi wala haja yakuchukua hatua yoyote ya maana.Wanasapoti ya kutosha sana,waendelee kutokuwa waoga
CCM ni mabingwa wa kuitumia statement kama hizi na kutoa ushauri kama huui. Kwani wewe ni mmoja wao?Nakupa ushauri wa bure usithubutu kumuamini mwanasiasa yoyote.
Naamini Dr. Bashiru ataendelea kubaki na msimamo wake, hii itafaa sana kuweka rekodi sahihi mbele ya safari, na hata hao wenye ubinafsi, wanaoiwekea demokrasia masharti, naamimi nao iko siku wataamka.
Kwahio Mko watatu tu nchi nzima?Mimi nawaunga mkono, pia yupo WARIONA na BUTIKU, tupo wengi kwahiyo acha kuudanganya uma kwambo hawana uungwaji mkono kabla hujafanya utafiti wa kutosha.
Amuunge Bashiru?Subir 2025 ndio utaona mtiti. hadi wewe utaunga juhudi.
Wengi wao wanakosa kuungwa mkono kwasababu wakat wa mwendakuzimu hao hao unasema kuwaunga mkono walikuwa wanatetea kila ujinga aliokuwa anaufanya yule mjinga