Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 3,133
- 6,118
π π nilijua tu kuna tu manzi twingine tuna midomo km chuchunge ukiwa km kazi zako zinahusisha ruti za kusafiri unakasusia nyumba aseila man hii point sana dem wangu mwenyewe ana mdomo balaaa yaani ni anaongea anauliza mpaka vitu vya kijinga ***** siku hizi mpaka najifanya navuta bangi akiongea sana jibu ni hapana au ndio na maelekezo tu
Kaini baada ya kumuua ndugu yake Habili alitamkiwa laana ya namna hiyo, uzuluraji.usikute na wewe unatokea kwenye ukoo huo.Nitaanza kujifanyia maombi, maana hii hali siipendi.
Mimi naishi pyramid scheme life yaani ni kazini- barabarani - nyumbaniUkiona hivyo ujue ndani mwako hapa kuvutii, pafanye pavutie ili hata uwapo mbali uwe unatamani kurudi ndani mwako.
Solution hapo ni kuoa utalala nyumbanKwenye madem Hapo uko sahihi
Mkuu unaweza kuwa na hivyo vyote lakini pasikuvutie..Tv, Sopha,Radio. Vipo.
Yaaani Kuna mda nalala Sehemu ambayo hata kwangu ni pazuri mara 100.Mkuu unaweza kuwa na hivyo vyote lakini pasikuvutie.
-Usafi
-Mpangilio mzuri
- Mazingira mazuri (Utulivu).
Pia kuna mdau hapo juu kagusia upweke. Huo pia unaweza kuwa mzizi wa yote hayo. Ndani kwako unapaona hapavutii hata kuvusha wa kukuondolea upweke unaona soo unaamua ukapaki gari kwa jirani.
PoleNishawasha kibaskeli Changu naenda kulala Kimara... Najitaidi nisitoke Home ila Wala sielewa yaani Natamani Kutoka
Si ajabu mkuu,ni mazoea tuMara Chache sana huwa nalala Nyumbani,
Kama Leo, hii nipo nyumbani ila nawaza niondoke nikalale Sehemu ingine.
kwa Wajuzi wa mambo hii Tabia inatokana na ninini. Sipendi hii hali,Natamani kuiacha lakini nashindwa.
Sasa hivi nipo nyumbani ila Natamani niondoke.
Pole sana mkuu.Yaaani Kuna mda nalala Sehemu ambayo hata kwangu ni pazuri mara 100.
Yaaani we achaaa tu.
Hii hali ipo kabisa. Sababu mara nyingi naamini ni zile za "Inner you".Mara Chache sana huwa nalala Nyumbani,
Kama Leo, hii nipo nyumbani ila nawaza niondoke nikalale Sehemu ingine.
kwa Wajuzi wa mambo hii Tabia inatokana na ninini. Sipendi hii hali,Natamani kuiacha lakini nashindwa.
Sasa hivi nipo nyumbani ila Natamani niondoke.
Jamani mtakuja mpigwe πππππFanya uolewe hiyo itasaidia kutulia
Huyo kidume ujue ππFanya uolewe hiyo itasaidia kutulia
kamsaidie madam asitoke kwake huyoo haloo tutamkosa abakwe njianPole
kwendraaa PIMBI weweKama Kuna mtu aje Tunywe wote nimpe Location