Kutokulala Nyumbani

Nikuulize maswali

Hiyo nyumba ina usalama mean hakuna issue za Imani potofu ?

Je kazi unayofanya ni ipi ??

Je una Hali ya kuwa mpweke ??

Je unatumia muda mwingi kwenye starehe na kulalia huko huko ?

Kwann ukilala nje ya nyumba yako ndo upate amani??
 
Usipo badilika hakuna kitakachobadilika
 
Wewe ntakutafuta tuwasiliane Vizuri, kwa maongezi.
 
Hii hali iliwahi kunitesa sana 2019-2020...ikajirudia tena 2024 halafu ikakata ghafla na siitaki tena.
 
Punguza ulevi... Tumia hobby yako home, kama vile kujiweka busy na kucheki movies au kusoma
 
Binadamu huwa tuna tabia zinazofanana na za wanyama.....kitabia umefanana na pimbi, anaweza kukimbia umbali mrefu sana na akifika huko anaenda kulala tu.

Kwahiyo nawe kalale unakotaka ni kawaida

hivyo kwa kifupi jamaa ni pimbi
 
Nadhani tungejua kwanza sababu inayopelekea kutopapenda maybe kuna kitu unakosa hapo na unaamini ukienda huko nje utakipata
 

Ukiendekeza hiyo tabia hata utapokuja kuwa na familia utakuwa mtu wa mahangaiko...
 
Una nyota ya uzuluraji bro watch out! fanya maombi.siyo tabia nzuri sana hiyo.Mke na watoto wako watapata taabu saana
 
Una nyota ya uzuluraji bro watch out! fanya maombi.siyo tabia nzuri sana hiyo.Mke na watoto wako watapata taabu saana
Nitaanza kujifanyia maombi, maana hii hali siipendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…