Fanya uolewe hiyo itasaidia kutuliaHapana,Naishi peke yangu
kama unatumia mihadarati acha mara mojaHapana,Naishi peke yangu
male aolewe mzee vipi mbona umelewa mapema sanaFanya uolewe hiyo itasaidia
Mara Chache sana huwa nalala Nyumbani,
Kama Leo, hii nipo nyumbani ila nawaza niondoke nikalale Sehemu ingine.
kwa Wajuzi wa mambo hii Tabia inatokana na ninini. Sipendi hii hali,Natamani kuiacha lakini nashindwa.
Sasa hivi nipo nyumbani ila Natamani niondoke.
PIMBI...naomba picha ya huyo mnyama tafadhaliBinadamu huwa tuna tabia zinazofanana na za wanyama.....kitabia umefanana na pimbi, anaweza kukimbia umbali mrefu sana na akifika huko anaenda kulala tu.
Kwahiyo nawe kalale unakotaka ni kawaida
Pamba kwako, weka fenicha nzuri kama za huko unapotamani kulala. Case closedMara Chache sana huwa nalala Nyumbani,
Kama Leo, hii nipo nyumbani ila nawaza niondoke nikalale Sehemu ingine.
kwa Wajuzi wa mambo hii Tabia inatokana na ninini. Sipendi hii hali,Natamani kuiacha lakini nashindwa.
Sasa hivi nipo nyumbani ila Natamani niondoke.
PIMBI...naomba picha ya huyo mnyama tafadhali
OkMara Chache sana huwa nalala Nyumbani,