Kutokula dagaa na samaki

Barakaeli174

Senior Member
Aug 2, 2015
171
142
Wana jamvi naomba msaada,

Miaka yote mkewangu alikuwa anakula samaki na dagaa ila ghafla imetokea siku moja dada wa kazi alipika dagaa ss sijui ilikuwaje mkewangu alipokula tumbo lilimsubua hadi leo akila tu samaki au dagaa tumbo linaume sana naomba msaada, kama kuna dawa au kuna kitu cha kufanya naomba maelekezo yenu.
 
Back
Top Bottom