"kutokujitokeza kwa wagombea wa urais wa chadema na ccm nini tafsiri yake?"

SUPER PREDATOR

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
2,093
725
Leo tumeshudia twaweza wakiendesha mdahalo wa urais bila ya wagombea kutoka vyama vyenye ushindani mkubwa wa kisisa hapa nchini, hebu tujiulize hii maana yake ni nini?
1. Twaweza imedharaulika?
2. Siasa za nchi yetu bado hazijakomaa?
3. Kunahitajika sheria ndogo ya kuvilazimisha vyama vinavyoshiriki uchaguzi mkuu kuhudhuria midahalo itakayoandaliwa na tume ya uchaguzi na sio twaweza maana imepoteza mwelekeo?
 
Mgombea wa ukawa hawezi kufanyiwa usaili na makada wa Ccm kupitia taasisi yao ya twaweza,kama wameshasema kwenye tafiti zao kwamba raid wao ni magufuli NA lowasa atashindwa,sasa wanamuita wa nini? Wamuite ambae wanamuona atashinda halafu wamuulize atawafanyia nini watanzania,
 
Leo tumeshudia twaweza wakiendesha mdahalo wa urais bila ya wagombea kutoka vyama vyenye ushindani mkubwa wa kisisa hapa nchini, hebu tujiulize hii maana yake ni nini?
1. Twaweza imedharaulika?
2. Siasa za nchi yetu bado hazijakomaa?
3. Kunahitajika sheria ndogo ya kuvilazimisha vyama vinavyoshiriki uchaguzi mkuu kuhudhuria midahalo itakayoandaliwa na tume ya uchaguzi na sio twaweza maana imepoteza mwelekeo?

yote ni majibu sahihi.
 
Tafsiri yake ni kuwa ccm inaendeleza ahadi hewa/za uongo , , , waliahidi magufuli angeshiriki hakujitokeza hapo hajapata urais je akipata atatekeleza ahadi lukuki za ccm, ? Ccm pita kushoto
 
Huo mdahalo wa TWAWEZA Walitakiwa wawaandalie waimba taarabu
 
Leo tumeshudia twaweza wakiendesha mdahalo wa urais bila ya wagombea kutoka vyama vyenye ushindani mkubwa wa kisisa hapa nchini, hebu tujiulize hii maana yake ni nini?
1. Twaweza imedharaulika?
2. Siasa za nchi yetu bado hazijakomaa?
3. Kunahitajika sheria ndogo ya kuvilazimisha vyama vinavyoshiriki uchaguzi mkuu kuhudhuria midahalo itakayoandaliwa na tume ya uchaguzi na sio twaweza maana imepoteza mwelekeo?
Tuwaulize kwanza wale mashabiki waliokuwa wakisisitiza kuwa Magufuli au CCM itashiriki watupe sababu. CHADEMA walishasema hawaudhulii angalabu huu ni uungwana. Msimamo huu ulizua kejeli na maneno mengi yasiyo stahiki. CCM bila hata uungwana walithibitisha kushitiki na wasifike! Hata hivyo wengi tulijua hawatashiriki na nafikiri hata watani zao walijua hivyo ndiuo maana tangu awali walisema hawatashiriki. Ngoja tusubiri sababu watakazotoa.
 
Back
Top Bottom