Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Hello members wa JF ,nini kinachosababisha kwa mwanaume wakati wa kufanya tendo la ndoa asitoe mbegu kabisa inatoka tuu hewa na uume unakuwa hauna nguvu vizuri ?
Na kama kuna dawa au ushaurii please. Je Kisukari kinaweza kumaliza kabisa sperms cout?
Msaada tafadhali, Have a nice day🙂
Na kama kuna dawa au ushaurii please. Je Kisukari kinaweza kumaliza kabisa sperms cout?
Msaada tafadhali, Have a nice day🙂