Jangwani pamejengwa marangapi!? Kwann hilo daraja/barabara isingepita juu kidogo!!!?
Samahani mkuu hivi ni u don't know nothing au u know nothing? Umeandika kwa jazba sana kiongozi ahahahhah
Usijaribu kutumia English kama hujui. Ona sasa ulichoandika!u don't know nothing kwenye huo mradi na role ya waziri vs other interested parties ktk mradi , shame on U!
huyo wa mwisho inabidi nimbebbe mgongoni
Hujui unachoongea. Unataka wataalamu wakae tena kwa kuwa kuna mapesa ya yasiyo na kazi? Fursa ya utatuzi ndiyo hiyo project ya BRT walipaswa waitumie vizuri lakini waliichezea kwa sababu aliyekuwa waziri wa ujenzi yeye alikalia mambo ya kukurupuka tu na sasa anajiita jiwe! Shame on Maccm yote!
Acha kutetea ujinga wa Kifutu,wakati wanatengeza Mwendokasi Waziri husika na mainjinia wazawa wa Tanroads hawakulijua hilo swala la hapo kujaa Maji wakaliiunua hilo Daraja?
Aliyesimamia ujenzi wa hizo barabara alipaswa kuwa korokoroni hadi sasa. Hilo daraja la Jangwani lilipaswa kuwa juu kuepuka hizi kadhia za miaka na miaka. Nina hakika angekuwa mwingine angeshahusishwa na tuhuma za upigaji. Anyway, nasikia malaika haguswi!
Wewe ni Kifutu uliefubaa, Mwendokasi imepata wapi?Mwendokasi hauhusiani na daraja, tumia walu punje moja ya kili zako.
Wewe ni Kifutu uliefubaa, Mwendokasi imepata wapi?
acha ushamba wewe, dar umekuja lini? hilo daraja lipo kabla wewe hujazaliwa na kabla ya serikali ya awamu ya pili, tatu nk.
Na hapo jangwani wau walikuwa wana cheza , mpira na hata Papa alipokuja Bongo wakati wa awamu ya pili Misa iliendeshwa hapo.
Lakini leo hii kuna matete nk hivyo kuwa kikwazo cha maji kutembea na mengineo, hapo ni wataalamu kukaa na kuona ni jinsi gani ya kutaua hilo tatizo nasio siasa za ccm vs cdm au za kiongozi huyu vs kiongozi fulani
kama ni hivyo, washutumiwe viongozi wote kuanzia mkoloni mpaka aliye jenga mara ya mwisho sijui Raisi au kiongozi alikuwa nani?? na issue sio udart maana udart barabara hiyo wameikuta ipo kaika level hiyo wasingeweza kuweka yao juu na hiyo nyingine ibaki chini, .we ndo mshamba,au hujui vizuri hilo eneo.wakati wa kiangazi hapo utacheza mpira na mkutano utaanda,kipindi cha masika huwezi kufanya chochote.Hapo lilipaswa kujengwa daraja kubwa kabisa kama lile linalotaka kujengwa Coco mpaka masaki.pale jangwani si pa kujenga barabara ya chini hata siku 1.pale ni daraja tena la juu kabisa kama Mfugale au la kigamboni.
pia aneo hilo ni shortcut ya kuelekea city center hivyo ni muhimu likajengwa daraja.Udart waache usanii.Hpo serikali ilibugi n lazim ikubli
kweli kabisa.maana mfano pale ukijenge daraja imara na refu maana yake unatatua tatizo asilimia karibia 100kama ni hivyo, washutumiwe viongozi wote kuanzia mkoloni mpaka aliye jenga mara ya mwisho sijui Raisi au kiongozi alikuwa nani?? na issue sio udart maana udart barabara hiyo wameikuta ipo kaika level hiyo wasingeweza kuweka yao juu na hiyo nyingine ibaki chini, .
Utatuzi ni kujenga hiyo miundo mbinu ya kutolea maji kwenye mabonde mengi ya dsm