Kutokana na ajira kupungua kote Serikalini na sekta binafsi naona tugawane saa za kazi

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,840
31,583
Hello JF,

Mmesikia ajira zimepungua kote Serikalini na sekta binafsi
https://www.jamiiforums.com/threads...-kwa-78-1-ndani-ya-mwaka-mmoja.1616523/page-8

Hebu tujadili tufanye nini,...

Mimie mwenzenu naona tugawane saa za kufanya kazi. Saa za kazi ziwe kutokana na umri…

Walitoka chuo 23-30 wafanye saa 16, 30-50 wafanye saa 32 na 50+ wafanye 16 hours

Kwa namna hiyo, watu WOTE wanapata kazi..na ku AFFORD basics...

Sio sasa hivi mizani iko overstretched one side..kuna walioajiriwa na graduates wako wengi bila kazi...tugawane at least kila mtu apate kula..lol

Sijui nimepuyanga?
 
Hello JF,

Mmesikia ajira zimepungua both serikalini na sekta binafsi ….https://www.jamiiforums.com/threads...-kwa-78-1-ndani-ya-mwaka-mmoja.1616523/page-8

embu tudiscuss tufanye nini,...

mie mwenzenu naona tugaiane masaa ya kufanya kazi..lol

Masaa ya kazi yawe kutokana na umri…

walitoka chuo 23-30 wafanye masaa 16,

30-50 wafanye 32 hours..

50+ wafanye 16 hours

in this way, watu WOTE wanapata kazi..na ku AFFORD basics...

Sio sasa hivi mizani iko overstretched one side..kuna walioajiriwa na graduates wako wengi bila kazi...tugawane at least kila mtu apate kula..lol

Sijui nimepuyanga?😁
umepuyanga...sheria inasema masaa 8
 
Nime skip through document uliyonipa quickly sijaona hio ya masaa nane.. mkuu?
ANGALIA PAGE YA 16 YA HIYO DOCUMENT WAMEFAFANUA VYEMA

Kwa kuzingatia Sehemu hii Ndogo, idadi ya juu ya siku za
kawaida au saa ambazo mfanyakazi anaweza kuruhusiwa au kutakiwa
kufanya kazi ni-
(a) siku sita katika wiki yoyote;
(b) saa 45 katika wiki yoyote; na
(c) saa tisa katika siku yoyote.
(3) Kwa kuzingatia Sehemu hii Ndogo, mwajiri hatakiwi kumtaka
au kuruhusu mfanyakazi kufanya kazi masaa ya ziada:
(a) isipokuwa kwa kufuata makubaliano; na
(b) zaidi ya saa 50 ya ziada katika mzunguko wa wiki nne
 
Mimi naona mtu akishafikisha 50 au hata 45 aache kazi atumie pesa alizopata kujiajiri. Ili na vijana wapya wapate kazi
Maana kuna wazee kwanza miaka wamedanganya alafu hawataki kistaafu.... wengine wanataka wastaafu na 65.
Wengine wanang'ang'ania kukaa kotazi mpaka kustaafu... huu ni ubinafsi
 
Sitaki kuzungumza Kama umepuyanga au la
Twende Sasa hayo masaa 16, 32 na 16 jumla yake 74 Sasa mkuu umetumia SI-UNIT gani

coz Kama ni siku Kuna masaa 24

Kama ni week Kuna masaa 168hrs

Sasa mkuu wewe umetumia unit gani ya muda

Baada ya hapo sasa mkuu nikuulize ungekua wewe umeajiliwa je ungekua tayari kugawana na mtu ka salary kako ili na yeye angalau apate kazi ?
 
Mkuu nilikua natoa suggestion nyingine kabisaa...masaa ya kazi yagawanywe ili kila mtu apate kidogo. ..ni kwamba utaratibu uliopo hautoshelezi makundi yote..
 
Sitaki kuzungumza Kama umepuyanga au la
Twende Sasa hayo masaa 16, 32 na 16 jumla yake 74 Sasa mkuu umetumia SI-UNIT gani

coz Kama ni siku Kuna masaa 24

Kama ni week Kuna masaa 168hrs

Sasa mkuu wewe umetumia unit gani ya muda

Baada ya hapo sasa mkuu nikuulize ungekua wewe umeajiliwa je ungekua tayari kugawana na mtu ka salary kako ili na yeye angalau apate kazi ?

Mnhhh hujanielewa..hayo masaa 16 ni total kwa mtu kwa week,kwa maana kwamba anaweza kufanya siku mbili masaa nane nane, na sio ndani ya siku moja..mkuu nielewe
 
Mimi naona mtu akishafikisha 50 au hata 45 aache kazi atumie pesa alizopata kujiajiri. Ili na vijana wapya wapate kazi
Maana kuna wazee kwanza miaka wamedanganya alafu hawataki kistaafu.... wengine wanataka wastaafu na 65.
Wengine wanang'ang'ania kukaa kotazi mpaka kustaafu... huu ni ubinafsi
mkuu wewe unasema wenye miaka 45 na 50 waache kazi ili wajiajiri ili na wewe angalau upate kazi kwenye nafasi walizokua wanafanya wao. sasa mkuu huoni kua ni ubinafsi Kama ambavyo unaupigia kelele ?
 
Kuna kundi nimeliweka lifanye kazi double,20=45, so that they can save kwa ajili ya baadae...na incase wameshindwa kufanya hivyo wasitolewe kabisaa...wapewe at least 16 hours za kujikimu
 
Mnhhh hujanielewa..hayo masaa 16 ni total kwa mtu kwa week,kwa maana kwamba anaweza kufanya siku mbili masaa nane nane, na sio ndani ya siku moja..mkuu nielewe
Mkuu kwa siku huyu mfanyakazi unaemzungumzia anafanya masaa mangapi ?
 
mkuu wewe unasema wenye miaka 45 na 50 waache kazi ili wajiajiri ili na wewe angalau upate kazi kwenye nafasi walizokua wanafanya wao. sasa mkuu huoni kua ni ubinafsi Kama ambavyo unaupigia kelele ?

Ndio maana huu mtindo nilioweka unawagusa wote,sio vizuri wazee kung'ang'ania madaraka..kwanza graduates waliokosa kazi ni mzigo kwa hawa wazee...in my opinion..kuwe na balance
 
Mnhhh hujanielewa..hayo masaa 16 ni total kwa mtu kwa week,kwa maana kwamba anaweza kufanya siku mbili masaa nane nane, na sio ndani ya siku moja..mkuu nielewe
Okay nimekuelewa
Sasa mkuu Kama ungekua wewe je ungekubali kugawana na mtu ka salary kako ili na yeye apate kazi ?
 
Ndugu zangu wengi wako Bench ndio maana nimekuja na topic kama hii 😁 😁 😁 😁 seriously ni ubinadamu tu..ila kama ingekua ni utaratibu uliowekwa before, tungezoea tu mkuu
 
mkuu wewe unasema wenye miaka 45 na 50 waache kazi ili wajiajiri ili na wewe angalau upate kazi kwenye nafasi walizokua wanafanya wao. sasa mkuu huoni kua ni ubinafsi Kama ambavyo unaupigia kelele ?
Sio ubinafsi... kwa wastani mpaka mtu anafikisha miaka 50 anakua ashafanya kazi kwa muda usiopungua miaka 20. Ina maana hii miaka yote haitoshi kumpatia mtu experience, funds, na muda wa kujiandaa kujiajiri?
 
Back
Top Bottom