kutoka uwanja wa Mbowe karatu

Bwana Crashwise tunashukuru kwa picha,kwani nawe kwa upande wa kaskazini unaaminika kwa kuweka updates makini.Sasa naomba kujua hasa alichozungumza Kamanda wa ardhini mh Mbowe na wananchi wa Karatu.
Yamezungumzwa mengi nunua Tanzania Daima la kesho utapata yote kwani ukinunua uhuru utakutana na matusi ya Lameck Mkumbo huko Kibaha.
 
Kama hautajali ninaomba utuwekee clip ya hotuba ya m/kiti taifa mh.mbowe.Ahsante kwa msaada....
 
kuu unabisha nini sasa haya angalia picha ya mkutano wake au hujui kiswahili, mtu akisema hakuwa na watu haina maana hana kabisa hilo haliwezekani kwani hata viongozi wa kata nao wamgomee na isitoshe kulikuwa na zekomedi

View attachment 77500kama haitakutosha sema nikuwekee nyingine...
Kama kweli kakosa watu, mnasemaje katukana???? Kwani kama alitukana miti, yaliwaumaje!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…