Kutoka usaa sikioni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutoka usaa sikioni

Discussion in 'JF Doctor' started by kussy, Jun 27, 2012.

 1. kussy

  kussy JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 15, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  wadau nisaidieni kutoka usaa sikioni kunasababishwa na nini na nini tiba yake ? nina mwanagu wa miezi5 wiki nzima anatoka usaa sikioni na dwa za hopitali naona hazimsaiddi
   
 2. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,812
  Trophy Points: 280
  Je ana hisi maumivu yoyote sikioni..?
   
 3. kussy

  kussy JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 15, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  wakati wa kumsafisha na zile pamba stick anakuwa analia sana, nafikiri yatakuwa maumivu
   
 4. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,812
  Trophy Points: 280
  anyways mi nadhani ni chronic otitis media ... ni infection ya middle ear ambapo inasababisha inflammation .. ni rahisi watoto kupata huu ugonjwa ...! nenda kwa Dr. wa ENT .. " ni specialist wa hayo mambo"

  pia Ujue otitis media haiponi within a week or a month .. inachukuwa muda kupona with rights treatments inaweza ikachukuwa hata miezi sita .. so dont giveup with medications ambazo ENT doctor atakazo kupa ..! followups baada ya treatment ni muhimu kwani dactari atakupa apointment ya kurudi kila wiki siku fulani ili apate kusafisha sikio na kuingiza dawa sikioni apart from zile ambao amekupa umpe mwanao.
   
 5. kussy

  kussy JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 15, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  thanx mkuu
   
 6. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Fanya haraka umpeleke mtoto kwa madaktari wa ENT.
  Pili acha mara moja kumsafisha mtoto na pamba sikioni; hata angekuwa hatokwi na usaa, pamba za masikioni si nzuri kwa watoto. Kwanza unaweza kutoboa ngoma ya sikio, pii zinaweza kuongeza maambukizi (sio safi kihivyo) tatu itapelekea mtoto kuwa natabia ya kuchokonoa masikio yake si anaona mnavyomfanyia.

  Mimi mwanangu akiwa less than a year alipata tatizo kama hilo. Nikampeleka magomeni hospitali ya Ekenywa (kama nakumbuka jina vizuri) Ndani ya wiki kama mbili tatizo lilikoma; ila nilishauriwa niwe nampeleka pale once a week (week ends) wamsafishe na kumuwekea dawa. Sasa anakaribia maka mmitano na tatizo halijawahi kujirudia.

  Daktari alinambia hilo tatizo linasababishwa na fungus; inawzekana house girl ana fangus mikononi, kama anamuogesha mtoto anaweza muambukiza. Ilibidi tumpleleke house girl wetu achekiwe pia.

  Kwa ufupi ukienda kwa doctor wa watoto jua fika umeingia chaka na mtoto hatapona. Nilianzia Regency niliishia kuchanganyikiwa kwani mtoto hakuwa anapata nafuu. Thanks to Ekenywa Hospital, Magomeni (mikumi nadhani) kwa sasa wamejenga hospital kubwa karibu na sheli ya magomeni. Nenda haraka.

  Fanya haraka mtoto asije akawa kiziwi.

   
 7. A

  ADK JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,159
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kwa mimi binafsi nilikuwa na tatizo hilo la kutokwa na usaha masikioni tangu mwaka 1979 nilitumia madawa ya mahospitali nakumbuka nilianzia agakan nairobi. Nikaja kcmc nako ikawa hola 1984 nikaja muhimbili na bado mambo yalikuwa magumu .cha kushangaza 1986 nikakutana na proffsa mazengo akanishauri nitumie mafuta ya kuku wa kienyeji na tangu nitumie hayo mafuta mpaka leo masikio yangu ni mazima
   
Loading...