Mhafidhina
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 549
- 22
Wanajamii nawasalimia wote, wakubwa kwa wadogo, Wake kwa Waume...!
Naomba kuuliza, hivi huwa ni kitu gani kinachochea au kinasababisha wapenzi waliokua wakipendana kwa dhati na hatimaye kubadilika na kuwa maadui kwa kuchukiana hadi kutamani kuuana, kutishiana maisha, kupigana, kuumizana, kufunguliana kesi na hata kupelekana polisi n.k.?
Nasema hivi kwasababu nimeshuhudia watu waliokua wakipendana tena walikua wamevalishana hadi pete za uchumba sasa wameishia kuwa Maadui kiasi kwamba wanatamani hata kutoana roho...!
Pengine labda mnaweza kuchangia au kutoa ufafanuzi, ni nini haswa huleta hali kama hii katika mahusiano? Na hali kama hii inaweza kukabiliwa vipi?
Natoa haja.