strugglist-2015
Member
- Dec 4, 2012
- 33
- 3
katika pitapita zangu maeneo karibu na bungeni Dodoma nimekuta kikundi cha wazee akisikitika kuhusu vijana wa chama cha mapinduzi kuacha kuvaa kijani na kupendelea kuvaa nguo nyeusi zenye bendera ya taifa kwa mbele , mzee mmoja akauliza je nikuonesha uzaledo ama wanajindaa kwa msiba mkubwa wa kuondoka madarakani 2015!nawasilisha kwenu wadau