Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #101
Hii tabia siipendi nyumbani kwangu, hata kidogo.mmmmh, umsingizie then ndo umtetee? hata yeye mwenyewe atakushangaa. mke wangu anapenda atambuliwe, aheshimiwe mbele za ndugu zangu na ndugu watambue kuwa mke wako ndo kila kitu. mfano huwa nawaambia wazazi wangu wampigie pia mke wangu kushukuru wakati nimewapa kitu au pesa. wasinishukuru mimi tu na pia wife wanhu, hiyo inawajengea kumheshimu mke wangu. Tena ndugu zangu wakiniomba kitu huwa nawaambia ili ukipate faster ongeeni na shemeji yenu. sio kwamba siwezi kukutoa mimi binafsi ila tu ni kumpa mke wako respect kwa ndugu zako nao watatambua kuwa kwa JICHO TAI ili upate kitu mwambie mke wake!!
Fixed PointHii tabia siipendi nyumbani kwangu, hata kidogo.
Akiombwa kitu na nduguze napenda yeye awe mwamuzi na ikiwezekana awape jibu papo kwa papo.
Unajua kwa kufanya hivyo unamweka mkeo kwenye wakati mgumu sana. na pia inamwongezea chuki toka kwa nduguzo. Kwa vitu ambavyo mnaweza kuwapa inakuwa haina tatizo, lakini kama hicho walichoomba hakitekelezeki, na wewe umeshawaambia wamwambie wife, wife akisema hili haliwezekani inakuwa balaa, "kaka angenipa ila lile limke lake limekataa", hapo sasa........
Kuheshimiwa/kudharauliwa kwa mke kunasababishwa na mume.Fixed Point
Tabia hii unayoikataa ina hasara na faida zake
Na inafaa kama una ndugu wanaomdharau mkeo
Kuna ndugu ambao mke wa kaka yao wanamuona kama mdudu si mtu
Hawamjumuishi wala kumhesabia kama ndugu hata msiba ukitokea kama kaka yao hayupo umeumia huambiwi
Unakuta wifi hadi hela ya pedi anamuomba kaka badala ya wigi (mfano kama unaishi nao)
Hata vikao vya familia mke hausishwi ila ataketewa tu utekelezaji bila kuangalia kama lipo ndani ya uwezo wake au la....
ukweli na uongo at the same time.
Kuna baadhi ya wanawake wakiingia kwenye familia, inakuwa kama wamaeingia member alfu wa boko haramu. Sijui ni kwa kujua ama kutojua, wanachonganisha familia nzima. Hapa suluhisho huwa ni mume liyemleta boko haramu huyo, kama anajielewa ama anaweza kum-manage mkewe, mambo huwa nafuu. Ila kama ni mume -----, kasheshe, suluhisho la haraka huwa ni kkumtafutia mahali wakaishi na mkewe mbali na nyumbani, kidogo hupunguza mitafaruku. Kuna kaya jirani, waligombanishwa na wakamwana dah! Na hivi watoto wa kiume walikuwa 5, na wakamwana 5, walikuwa wanaishi jirani jirani tu. Sijui ikawaje hadi mama yao akatimuliwa sababu ya mkamwana, mjane yule akaenda kukaa kwa kijana wake mdogo wa kiume wa 6, ambaye hata hajaoa. Ila walikuwa na wifi yao aliyekuwa anaishi jirani, anauwezo wa kusutana na Dar nzima.
Na kuja shem wangu mmoja, mkewe ni kama alshaba, anagombana na mama mkwe wa miaka 80+, sijui hata anagombana naye nini. Kamfanya mumewe haelewani na mtu hata mmoja, ila mume naye ni bu sho ke tu nadhani. Basi unabaki kumhurumia tu lakini yeye anajiona mbabe wa ukoo.
Hapo kuna wanawake, ambao huwa kama baraka na chanzo cha busara kwa mume. Hata pale palipoonekana kuwa na mtafaruku, unakuta mke anafunika weakness za mmewe, labda kwa kuonyesha ushirikiano na nduguze zaidi. Hapa mfano ni wifi yangu, yale mambo ambayo braza hashiriki kabisa, kama ya kusalimia au kuuguza wagonjwa, wifi ndio mstari wa mbele, so ana cover sana hiyo weakness yake. Kiasi kwamba wao wakiwa tunashiriki kwao sababu ya wifi.
Kwa hiyo, kuna baadhi ya wake wanaleta amani, wengine kwa kweli ni hatari tupu.
Fixed Point nime kuelewa najua umelitoa toka moyoni apo tu nimekupa pointNi kweli my dear, ila kwa neema ya Mungu tutafika tu
Pamoja sana djneheFixed Point nime kuelewa najua umelitoa toka moyoni apo tu nimekupa point
Big up nimekubali challenge
Hii tabia siipendi nyumbani kwangu, hata kidogo.
Akiombwa kitu na nduguze napenda yeye awe mwamuzi na ikiwezekana awape jibu papo kwa papo.
Unajua kwa kufanya hivyo unamweka mkeo kwenye wakati mgumu sana. na pia inamwongezea chuki toka kwa nduguzo. Kwa vitu ambavyo mnaweza kuwapa inakuwa haina tatizo, lakini kama hicho walichoomba hakitekelezeki, na wewe umeshawaambia wamwambie wife, wife akisema hili haliwezekani inakuwa balaa, "kaka angenipa ila lile limke lake limekataa", hapo sasa........
Nafanya sana maamuzi magumu, lakini sitaki niwe mlaumiwa namba moja.sina maana kuwa kile ninachomwambia wife awape hakitekelezeki. kiukweli shida nyingi unakuta ni pesa tu na huwa najua tunaweza au hatuwezi kuwapa ila huwa nachannel tu kwa wife wajue uwepo wake na umuhimu wake. kumbe wewe mkuu hutaki kuachiwa maamuzi hayo magumu?
Huo ni ubwanyenye mwanaume kwenye nyumba ndio mwenye maamuzi ya mwisho sasa kama wewe kwako huna maamuzi yaani ni tabu,ukiombwa kitu,kipo kipo unapata,si nenda kwa wife,wife anapewa taarifa tu,kuna hili na hili nimefanya hivi!hizi nyumba bhanasina maana kuwa kile ninachomwambia wife awape hakitekelezeki. kiukweli shida nyingi unakuta ni pesa tu na huwa najua tunaweza au hatuwezi kuwapa ila huwa nachannel tu kwa wife wajue uwepo wake na umuhimu wake. kumbe wewe mkuu hutaki kuachiwa maamuzi hayo magumu?
hii sasa kali.......Huo ni ubwanyenye mwanaume kwenye nyumba ndio mwenye maamuzi ya mwisho sasa kama wewe kwako huna maamuzi yaani ni tabu,ukiombwa kitu,kipo kipo unapata,si nenda kwa wife,wife anapewa taarifa tu,kuna hili na hili nimefanya hivi!hizi nyumba bhana
Nafanya sana maamuzi magumu, lakini sitaki niwe mlaumiwa namba moja.
Kama nduguyo anakuomba kitu, unamwambia amwombe wife wako, ni dhahiri kuwa anajua inawezekana ila lazima wife ndo aseme. sasa ikitokea mkaja kuliongea wawili na mkagundua hamna uwezo wa kutekeleza ombi lake nduguyo ataamini kabisa wewe ungempa isipokuwa mkeo ndo kazibia. hii badala ya nduguzo kuona uwepo na umuhimu wa mkeo positively, wanamwona ndo mzibaji wa rizki zao, huko ni kumjengea chuki kati yake na nduguzo.
Kwani kuna shida gani kumkubalia nduguyo ombi lake bila kumwambia amwambie wife, kama unaona hilo ombi linatekelezeka? Mimi kama mke naona cha maana tu ni kwamba mume aje anishirikishe na asifanye kwa siri. Kwa upande wangu nadhani anayetakiwa kujua uwepo na umuhimu wangu kwenye familia ni mume wangu.
Huo ni ubwanyenye mwanaume kwenye nyumba ndio mwenye maamuzi ya mwisho sasa kama wewe kwako huna maamuzi yaani ni tabu,ukiombwa kitu,kipo kipo unapata,si nenda kwa wife,wife anapewa taarifa tu,kuna hili na hili nimefanya hivi!hizi nyumba bhana
ha haaaa, kero za Muungano naona tukiamua zinatekelezeka ila za kwenye ndoa ni kizungumkuti, lol!bolded words. Mkuu hilo ndo jibu umesema maana kweye ndoa humu kero zake kama za muungano kuna zinazotekelezeka na nyingine hapana.
[/B]
ukweli na uongo at the same time.
Kuna baadhi ya wanawake wakiingia kwenye familia, inakuwa kama wamaeingia member alfu wa boko haramu. Sijui ni kwa kujua ama kutojua, wanachonganisha familia nzima. Hapa suluhisho huwa ni mume liyemleta boko haramu huyo, kama anajielewa ama anaweza kum-manage mkewe, mambo huwa nafuu. Ila kama ni mume -----, kasheshe, suluhisho la haraka huwa ni kkumtafutia mahali wakaishi na mkewe mbali na nyumbani, kidogo hupunguza mitafaruku. Kuna kaya jirani, waligombanishwa na wakamwana dah! Na hivi watoto wa kiume walikuwa 5, na wakamwana 5, walikuwa wanaishi jirani jirani tu. Sijui ikawaje hadi mama yao akatimuliwa sababu ya mkamwana, mjane yule akaenda kukaa kwa kijana wake mdogo wa kiume wa 6, ambaye hata hajaoa. Ila walikuwa na wifi yao aliyekuwa anaishi jirani, anauwezo wa kusutana na Dar nzima.
Na kuja shem wangu mmoja, mkewe ni kama alshaba, anagombana na mama mkwe wa miaka 80+, sijui hata anagombana naye nini. Kamfanya mumewe haelewani na mtu hata mmoja, ila mume naye ni bu sho ke tu nadhani. Basi unabaki kumhurumia tu lakini yeye anajiona mbabe wa ukoo.
Hapo kuna wanawake, ambao huwa kama baraka na chanzo cha busara kwa mume. Hata pale palipoonekana kuwa na mtafaruku, unakuta mke anafunika weakness za mmewe, labda kwa kuonyesha ushirikiano na nduguze zaidi. Hapa mfano ni wifi yangu, yale mambo ambayo braza hashiriki kabisa, kama ya kusalimia au kuuguza wagonjwa, wifi ndio mstari wa mbele, so ana cover sana hiyo weakness yake. Kiasi kwamba wao wakiwa tunashiriki kwao sababu ya wifi.
Kwa hiyo, kuna baadhi ya wake wanaleta amani, wengine kwa kweli ni hatari tupu.
ukweli na uongo at the same time.
Kuna baadhi ya wanawake wakiingia kwenye familia, inakuwa kama wamaeingia member alfu wa boko haramu. Sijui ni kwa kujua ama kutojua, wanachonganisha familia nzima. Hapa suluhisho huwa ni mume liyemleta boko haramu huyo, kama anajielewa ama anaweza kum-manage mkewe, mambo huwa nafuu. Ila kama ni mume -----, kasheshe, suluhisho la haraka huwa ni kkumtafutia mahali wakaishi na mkewe mbali na nyumbani, kidogo hupunguza mitafaruku. Kuna kaya jirani, waligombanishwa na wakamwana dah! Na hivi watoto wa kiume walikuwa 5, na wakamwana 5, walikuwa wanaishi jirani jirani tu. Sijui ikawaje hadi mama yao akatimuliwa sababu ya mkamwana, mjane yule akaenda kukaa kwa kijana wake mdogo wa kiume wa 6, ambaye hata hajaoa. Ila walikuwa na wifi yao aliyekuwa anaishi jirani, anauwezo wa kusutana na Dar nzima.
Na kuja shem wangu mmoja, mkewe ni kama alshaba, anagombana na mama mkwe wa miaka 80+, sijui hata anagombana naye nini. Kamfanya mumewe haelewani na mtu hata mmoja, ila mume naye ni bu sho ke tu nadhani. Basi unabaki kumhurumia tu lakini yeye anajiona mbabe wa ukoo.
Hapo kuna wanawake, ambao huwa kama baraka na chanzo cha busara kwa mume. Hata pale palipoonekana kuwa na mtafaruku, unakuta mke anafunika weakness za mmewe, labda kwa kuonyesha ushirikiano na nduguze zaidi. Hapa mfano ni wifi yangu, yale mambo ambayo braza hashiriki kabisa, kama ya kusalimia au kuuguza wagonjwa, wifi ndio mstari wa mbele, so ana cover sana hiyo weakness yake. Kiasi kwamba wao wakiwa tunashiriki kwao sababu ya wifi.
Kwa hiyo, kuna baadhi ya wake wanaleta amani, wengine kwa kweli ni hatari tupu.
subiri akitoka na points (kama) me, utachanganyikiwa zaidiKumbe wewe wa kike!
subiri akitoka na points (kama) me, utachanganyikiwa zaidi