Kutoka mwanza natafuta mwanamke wa kufanya naye biashara ya matunda

Jiran mwema

Senior Member
Nov 7, 2015
164
104
Mim ni kijana umri miaka 23,ninahitaji mdada ambae yuko tayari kufanya nami biashara ya kukatakata matunda na kuyapaki kwenye sahani kisha kwa kila sahani ya matunda bei ni 1000/=
Kuhusu malipo na maelekezo mengne nitafute
Kupitia namba 0765864125 Au unaweza kuni PM
 
Sasa ndugu yangu kwa akili yako mtu mwenye smartphone na akawa anaingia jf atakubali ajira hio..... Au ni gia ya kutafutia demu hapa bongo? Angalia!!!!.... Wanawake wa bongo wajanja... Usije ukatuletea mrejesho hapa kwamba umetapeliwa wakati umeyataka mwenyewe.
 
Si hiyo tu, mtu anaweza akawa anamjua binti yupo sehem anahitaji "ajira" akamfikishia ujumbe. Mfano kwenye jukwaa la kazi na ajira wengi wanaoingia kule wana kazi zao tayari, ila wana ndugu jamaa na amarafiki wengi ambao hawana!
 
Sawa... Kwa hio ansmfikishia habari kwamba kuna kazi ya kukatakata matunda sio??sawa bwana.
 
Ndiyo, hujawahi kufikwa na mtu anakwambia..."...naomba kazi", ukimuuliza kazi gani anakujibu "...yoyote"! Au wewe unaishi Tanzania ipi?
Sawa... Kwa hio ansmfikishia habari kwamba kuna kazi ya kukatakata matunda sio??sawa bwana.
 
Mbona unaonekana kama mtu uliyejaa madharau sana?
Samahani lakini nimekuhukumu kwa kumia post zako kwenye uzi huu pekee...
Nimeshakusamehe mkuu... Mimi dharau sina.... Ila niliona ile dizaini ya kazi na njia inayotumika kutafuta huyo mfanyakazi kwa mawazo yangu haviendani.... Lakini kwa vile sikueleweka nikaamua nikatishe hoja yaishe. Mimi Nilihisi kwamba humu utatangaza kazi yenye address maalum ili mtu akisoma anakwenda sehemu inayotambulika...hayo ni mawazo yangu lakini si lazima niwe sahihi.
 
We unakazi gani?
 
Ni kweli Mkuu una point ata wengine wafanye ivo kumuweka MTU sawa mapema
 
Sasa ndugu yangu kwa akili yako mtu mwenye smartphone na akawa anaingia jf atakubali ajira hio..... Au ni gia ya kutafutia demu hapa bongo? Angalia!!!!.... Wanawake wa bongo wajanja... Usije ukatuletea mrejesho hapa kwamba umetapeliwa wakati umeyataka mwenyewe.
hahahahaha jamn
 
Back
Top Bottom