Ingawa sina uhakika sana, kwa nilivyoelewa mimi.Sijaelewa.
hapana, sihawahi kukejeli dini ya mtu na wala sitakaa nikejeliIngawa sina uhakika sana, kwa nilivyoelewa mimi.
Huyo mzee ni Mume na huyo binti ni Mke.
Sema huu uzi una dalili ya kejeli za Kidini, nilikuwepo
Ingawa sina uhakika sana, kwa nilivyoelewa mimi.
Huyo mzee ni Mume na huyo binti ni Mke.
Sema huu uzi una dalili ya kejeli za Kidini, nilikuwepo
huyu ni msichana aliyekua ametekwa, ana umri wa miaka 14, alikutwa akitembea mitaani akiwa na ujauzito wa miezi 4, japo alikua anajaribu kuuficha
14 Year Old Ese Oruru Is Reportedly 5 Months Pregnant | Nigerian: Breaking News In Nigeria
View attachment 326887
Hukunielewa.hapana, sihawahi kukejeli dini ya mtu na wala sitakaa nikejeli
naheshimu imani za watu wote
Jamaa alieleta mada amesharekebisha, kaweka na maelezo.Sijaelewa.