Kutoka Maktaba

Kutoka Maktaba

Complex

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
4,120
Reaction score
4,790
Pengine huyu alikuwa anamaanisha alichokisema

wp_ss_20161026_0001 (2).png
 
kiuhalisia sera nyingi za Lowassa zilikuwa zinatekeleza na kuonyesha njia ya kufikia malengo hata kwa asilimia hamsini,kwa haraka haraka hata kama sio mchumi unaweza kutoa tathimini ya nini kifanyike yaani mtu anakuonyesha nuru ya kulitumia jiwe au benchi ulilolikalia kijiweni kuanzia asubuhi mpaka jioni
 
Hayo alisema siku chache kabla ya siku ya maamuzi ya nani apewe ridhaa.

Capture.GIF
 
Attachments

  • Capture.GIF
    Capture.GIF
    13.9 KB · Views: 42
Halaf huyu mzee kila siku napishanae hajaenda tu kuchunga ng'ombe?
Au anachunga kwa bluetooth?
Mwenyekiti CCM JF
hivi nyie die hards wa ccm huwa mnatumia common sense kweli!!!? Au ndio ile ukijipendekeza unapata cheo somewhere!!?
 
Yeye alisema atajenga uchumi wa mama ntilie, wamachinga na mabodaboda
 
Halaf huyu mzee kila siku napishanae hajaenda tu kuchunga ng'ombe?
Au anachunga kwa bluetooth?
Mwenyekiti CCM JF

Unapishana naye kwenye korido hapo Lumumba au wapi kwani wewe muda wote uko hapo lumumba kwenye korido na kilaptop chako cha mtumba ukingojea kutupiwa vipeperushi ili uvirushe mitandaoni uambulie buku 7.
 
Usiwe na hasira mkuu, hv ufipa kwanin zile kolido mmekata vyumba vya ofs,mjenge Ofisi muache upumbavu

Mwenyekiti CCM JF
 
Back
Top Bottom