KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,883
- 40,052
Mwili wangu waniuama maumivu tele...
Mgongo wangu waniuma maumivu tele...
Dawa ya maumivu, dawa yenye nguvu, dawa ni DAWANOL...
Alikuwa anatumia mtandao gani wa mobile? Tritel?
Kumbe humu kuna wajukuu zetu......hiyo kitu mara ya kwanza kutumia ilikuwa mwaka 1943 wakati huo nipo midle school......
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Mobitel lilikuwa analogi ukitaka kuweka salio uende kwenye vibanda vya mawakala wanakuwekea salio na kukuunnganisha halafu simu zote za mikononi zilikuwa zinafanana nzito nzito.Mobitel ndio mtandao wa kwanza wa mobile ku-operate hapa bongo (Ikawa buzz then ndio tigo ya sasa). Enzi hzo hakukuwa na line cellular zlikuwa zinaitwa vimobiteli.
Kumbe bado kijana mdogo sana.Kumbe humu kuna wajukuu zetu......hiyo kitu mara ya kwanza kutumia ilikuwa mwaka 1943 wakati huo nipo midle school......
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Mobitel ndio mtandao wa kwanza wa mobile ku-operate hapa bongo (Ikawa buzz then ndio tigo ya sasa). Enzi hzo hakukuwa na line cellular zlikuwa zinaitwa vimobiteli.
Ongeza hii......