Lai Otieno
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 311
- 90
Tayari wanachama na wapenzi wa CHADEMA Musoma Mjini wameshafika mahakamani kusikiza kesi aliofunguwa aliyekuwa mbunge Mathayo kuwa wafuasi wa CHADEMA na viongozi walifanya fujo.
Tayari wanachama na wapenzi wa Chadema Musoma mjini wameshafika mahakamani kusikiza kesi aliofunguwa aliyekuwa mbunge Mathyo kuwa wafuasi wa Chadema na viongozi walifanyia fujo.