Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
hapana. hata simfahamuWewe kumbe ndio ViviMachange.
Nishawahi kuiskia hii milango ya chuma. Kuna jamaa alinisimulia nyumbani kwake Kibada kigamboni majambazi walim-tight getini wakaingia nae ndani, mke wake akawahi kukimbilia chumbani na mtoto mchanga akajifungia,chumbani wameweka huo mlango. Majambazi wakashindwa kuvunja na alipoingia huko akachukua gobole akaanza kufyatua dirishani ikabidi majambazi wakimbie!hapana. hata simfahamu
Ahahaaa kama movieNishawahi kuiskia hii milango ya chuma. Kuna jamaa alinisimulia nyumbani kwake Kibada kigamboni majambazi walim-tight getini wakaingia nae ndani, mke wake akawahi kukimbilia chumbani na mtoto mchanga akajifungia,chumbani wameweka huo mlango. Majambazi wakashindwa kuvunja na alipoingia huko akachukua gobole akaanza kufyatua dirishani ikabidi majambazi wakimbie!
Ukikaa nje ya mji nyumba inabidi iwe kama ngome ya Isike! Na bado kuna siku wataku-time utakiona cha moto..Ahahaaa kama movie
Kweli wanawakomesha aisee ila hamkomi kuishi visiwaniUkikaa nje ya mji nyumba inabidi iwe kama ngome ya Isike! Na bado kuna siku wataku-time utakiona cha moto..
Hawana time na mtu masikini kama mimi. Mimi nasumbuliwa na vibaka tuKweli wanawakomesha aisee ila hamkomi kuishi visiwani
Najua sasa hivi haupo online,ukiingia rudia kusoma ulichoandika halafu useme kama umejielewa.Kazi mziru mi nna mlango mkubwa pia front window yangu ni 9x9 ambayo pia unaweza kutumia kama mlango japo sio rasmi mimi mwenyewe huwa sipendelei wafanye hivyo
Najua sasa hivi haupo online,ukiingia rudia kusoma ulichoandika halafu useme kama umejielewa.
Polehapana. hata simfahamu