Habari za muda huu
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 27.
Miezi minne iliyopita nilikutana na Binti wa miaka 25 ambae tuliingia kwenye mahusiano kwa takribani miezi minne ila tuliachana kutokana na changamoto ya yeye kudai kua nimeshindwa kumuhudumia upande wa nahitaji yake ya kifedha
Baada ya muda wa mwezi mmoja kumbbeleza alikataa kurudiana na Mimi akidai amepata mwanaume mwingine ila nimumewamtuu na anamuhudumia kwa Kila anachokihitaji kwa upandewangu nikakata tamaa nakuachana nae ila aliendelea kunitafuta kwa Baadhi ya siku.
Hivi Sasa niwiki tatu nilimtongoza mdogo wake mwenye miaka 21 naakanikubalia hivyo tuliendeleza penzi letu kama kawaida na kupeqna ahadi kadha wa kadha za uaminifu mpaka ndoa . Ilipofika Jana dada yake aligundua nakunipigia simu kunishtumu kwa nilichomfanyia kwani anasema siokwamba alikua ameachana na Mimi Bali nialifwata tuu ela ila moyo wake bado upo kwangu , kwaupande wangu nilimchana ukweli kua atulie naaniache na mahusiano yangu na mdogo wake ila sijui alichokifanya mpaka Sasa kwani mdogo wake kwasikunzima ya Leo amenizimia simu na nlipomuuliza rafiki yake alinipa jibu kua kunamuda alikua amejifungia ndani analia ila hakumuambia kinachomliza
Naombeni ushauri hii kesi naitatuaje sababu nahisi dada mtuu kamzingua mdogo wake kwa kukubali kutembea namimi
🙏🙏🙏🙏🙏🙏