Elections 2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,075
2,000
Nape kaka yangu hii Dunia niya Mungu,kumwita mtu aliye hai maiti nimatusi makubwa sana,nakuhakikishia Nape tutakuzika wewe Lowasa akiwa hai hii dunia sio ya ccm maisha na kuishi ni Mungu anatupea sasa wewe unamkosoa Mungu kwa kumpa Lowasa maisha unamwita maiti akiwa hai sasa wewe ndiye utatanguli mbele za haki Lowasa utamuacha hapa Tz akiwa Raisi au akiwa Raia wakawaida.tuheshimu uhai wa watu wengine.
Huyu Lowassa ana mke,watoto,jamaa ndugu na marafiki wengine wanaofuatilia siasa zake! Nape amekosa adabu na ajipime kwa matusi anayomtukana mtu mzima, ajipime kama kweli siasa anazozifanya nildizo Watanzania wanazozitaka.Hii ni chuki ya wazi na nina imani Nape wapo watakaochukulia hatua kama sio Lowassa mwenyewe.
 

mshunami

JF-Expert Member
Feb 27, 2013
3,913
2,000
Kama kweli mzee wenu ni mwizi ataendelea kuwa mwizi tu hata akihama chama.

Chagua Lowasa. Hiyo ya wizi au ufisadi ni singo iliyopitwa na wakati. Haina soko tena! Haiuzi sera za magamba!


Chagua Magufuli ni mchapa kazi na dikteta!

Haina soko wala haiuziki!
 

kiwa k khalidi

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
300
0
Watu wanaogopa kasema maiti. Sote ni maiti watalajiwa.Ccm na cdm nyie ndoo mabingwa wa matusi,sisi wengine tulioko pembeni huwa tunawaona kama machizzi fulani fulani
 

Don san tan

JF-Expert Member
May 23, 2015
520
500
kumshambulia mgombea
urais kwa kiketi ya Chadema,
Edward Lowassa aliyewahi
kuwa kada wa chama hicho.
Nape alirusha makombora
yake kwa Lowassa jana
alipopewa nafasi ya
kumnadi mgombea urais wa
CCM, Dk. John Magufuli
katika viwanja vya Samora,
mjini Iringa.
Alisema Lowassa ni mwizi na
fisadi na kwamba hakuna
sehemu ambayo alipewa
kufanya kazi katika ngazi za
CCM na serikali bila kuiba.
Nape alidai kuwa Lowassa
alishindwa kukaa katika
chama cha Mapinduzi kwa
kuwa hawezi
kufugika...."Lowassa ni
Kunguru,Hafugiki." Alisema
Nape.
Katika hatua
nyingine,Nape alidai kuwa
Lowassa aliwanunua
viongozi wa ngazi za juu
wa UKAWA na CHADEMA
ili apate nafasi ya
kugombea kupitia
Chadema ambayo awali
ilikuwa ikimuita fisadi.
Katika maelezo yake,Nape
alisema mbunge wa
Iringa mjini,mchungaji
Peter Msigwa ni miongoni
mwa walionunuliwa na
Lowassa kwa shilingi
milioni 340.
Nape amekuwa akirusha
makombora kwa Lowassa
tangu alipotangaza uamuzi
wake wa kukihama chama
hicho na kujiunga
CHADEMA.
Nape aliwahi kunukuliwa
akisema kuwa amekuwa
akipambana na Lowassa
kwa miaka 12 ndani ya
CCM na kwamba mziki
wake anaufahamu
Hata hivyo, tangu
alipoanza kampeni
zake,Lowassa amekuwa
kimya bila kujibu
mashambulizi ya Nape na
viongozi wengine wa
CCM,hali inayomfanya
azidi kujipatia umaarufu
mkubwa zaidi wa kiasiasa.
Wakati Nape akitumia
muda mrefu kurusha
makombora, Lowassa yeye
alikuwa Jijini Tanga
akifanya mkutano mkubwa
wa kampeni uliolazimika
kukatishwa kutokana na
mafuriko ya wananchi
kuzidi eneo la mkutano.

YOUTUBE
 

Mssassou

JF-Expert Member
Jun 17, 2015
1,540
1,250
kumshambulia mgombea
urais kwa kiketi ya Chadema,
Edward Lowassa aliyewahi
kuwa kada wa chama hicho.
Nape alirusha makombora
yake kwa Lowassa jana
alipopewa nafasi ya
kumnadi mgombea urais wa
CCM, Dk. John Magufuli
katika viwanja vya Samora,
mjini Iringa.
Alisema Lowassa ni mwizi na
fisadi na kwamba hakuna
sehemu ambayo alipewa
kufanya kazi katika ngazi za
CCM na serikali bila kuiba.
Nape alidai kuwa Lowassa
alishindwa kukaa katika
chama cha Mapinduzi kwa
kuwa hawezi
kufugika...."Lowassa ni
Kunguru,Hafugiki." Alisema
Nape.
Katika hatua
nyingine,Nape alidai kuwa
Lowassa aliwanunua
viongozi wa ngazi za juu
wa UKAWA na CHADEMA
ili apate nafasi ya
kugombea kupitia
Chadema ambayo awali
ilikuwa ikimuita fisadi.
Katika maelezo yake,Nape
alisema mbunge wa
Iringa mjini,mchungaji
Peter Msigwa ni miongoni
mwa walionunuliwa na
Lowassa kwa shilingi
milioni 340.
Nape amekuwa akirusha
makombora kwa Lowassa
tangu alipotangaza uamuzi
wake wa kukihama chama
hicho na kujiunga
CHADEMA.
Nape aliwahi kunukuliwa
akisema kuwa amekuwa
akipambana na Lowassa
kwa miaka 12 ndani ya
CCM na kwamba mziki
wake anaufahamu
Hata hivyo, tangu
alipoanza kampeni
zake,Lowassa amekuwa
kimya bila kujibu
mashambulizi ya Nape na
viongozi wengine wa
CCM,hali inayomfanya
azidi kujipatia umaarufu
mkubwa zaidi wa kiasiasa.
Wakati Nape akitumia
muda mrefu kurusha
makombora, Lowassa yeye
alikuwa Jijini Tanga
akifanya mkutano mkubwa
wa kampeni uliolazimika
kukatishwa kutokana na
mafuriko ya wananchi
kuzidi eneo la mkutano.

YOUTUBE
Chakushangaza serikali ya chama cha Nape inamuogopa kumpeleka mahakamani,sasa anatuambia sisi wananchi tumfanye nini wkt sisi hatuna uwezo wa kumpeleka mahakamani.Nimeamini JK NI DHAIFU
 

mary moses

Member
May 3, 2015
21
0
Wameishiwa sela ningewaona wamaana kama wange eleza Sera zao ili wananchi waeleo co kukomaa El ni mwizi haito wasaidia mana na wao wenyewe ni wezi .mbona Wengine wanagombania ubunge kwa tiketi ya ccm na wanakashfa
 

kimicho

Senior Member
May 21, 2015
148
0
Hichi kijani RANGI Tuleeteeni sera unamjadili MTU ambae wanachi wana mkubali Nape acha ubabaishaji let's Sera za kijani kubadilika kuwa nyepe
 

gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
2,589
2,000
Hichi kijani RANGI Tuleeteeni sera unamjadili MTU ambae wanachi wana mkubali Nape acha ubabaishaji let's Sera za kijani kubadilika kuwa nyepe
Lowasa kwanda kwenda ikulu ni nguma kama kwenda peponi pasipo kuonja umauti.Huyu mwizi hana safari zaidi ya kelele zisizo na tija.
 

Tetty

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
26,386
2,000
Uliza lowasa miaka 35 serikalini ametuletea nini iringa acha kumfanya lowasa kama ni mpya,hiyo sio slaa,
Hivi Lowassa ni serikali????Na huyo Lowassa aliwahi kuwa waziri wa ujenzi???
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom