Kutoka Iramba Magharibi

Kutoka Iramba Magharibi

KaziIendelee

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
327
Reaction score
231
Kamati kuu ya Chadema,tunawaomba,sisi wanairamba,mumurudishie uanachama Dr Kitila Mkumbo; ni mchango mkubwa sana kwetu lakini pia sisi kama wanachadema toka Iramba Magharibi bado tunaimani na sana na Chadema
 
Kamati kuu ya Chadema,tunawaomba,sisi wanairamba,mmurudishie uanachama Dr Kitila Mkumbo; ni mchango mkubwa sana kwetu lakini pia sisi kama wanachadema toka Iramba Magharibi bado tunaimani sana na Chadema.
 
Yah.Angeomba msamaha mwenyewe,ili amalizie kiporo alicho kiacha cha kunyakuwa jimbo toka mikononi mwa wanyanganyi
 
Kamati kuu ya Chadema,tunawaomba,sisi wanairamba,mumurudishie uanachama Dr Kitila Mkumbo; ni mchango mkubwa sana kwetu lakini pia sisi kama wanachadema toka Iramba Magharibi bado tunaimani na sana na Chadema
Mna imani na CDM au Kitila...??? Kipendeki chama kwa sera zake na si uwepo mtu fulani ndani ya chama... Je ikitokea kafa mtafanya nini..??
 
Kamati kuu ya Chadema,tunawaomba,sisi wanairamba,mmurudishie uanachama Dr Kitila Mkumbo; ni mchango mkubwa sana kwetu lakini pia sisi kama wanachadema toka Iramba Magharibi bado tunaimani sana na Chadema.

Nyinyi?sema wewe
 
Mitusi yote anayoporomosha kwa viongozi arudishweee??? Aaaa basi acha tuikose iramba magharibi
 
Tuache hiii CD sasa hv haisaidii kitu. Kuna jambo kubwa linalogusa fate ya Taifa sasa hv badala ya watu kuangalia nini kinachoendelea ili tuweze kufanya maamuzi sahihi tunakuja na siasa za ajabu hapo. Me nafikiri watanzania wote tuache siasa kwa hiki kipindi tu concentrate kwenye issue ya katiba, tupate katiba nzuri kwa ajili ya nchi yetu na vizazi vijavyo.
 
kama ni mtu anayewafaa hata akiwa SAU atawafaa, mwambieni atafute chama ahamie ili mkafanye yenu. waacheni CHADEMA waendelee na yao. acheni usumbufu bana
 
Hilo neno. Hata walimu musipotuchagua lazima tutashinda tu....J.K
Eti hata hilo jimbo tukilikosa??? Maneno ya MFA maji
 
Kamati kuu ya Chadema,tunawaomba,sisi wanairamba,mumurudishie uanachama Dr Kitila Mkumbo; ni mchango mkubwa sana kwetu lakini pia sisi kama wanachadema toka Iramba Magharibi bado tunaimani na sana na Chadema
Nyie mna mapenzi na Kitila, sio Chadema. Alichofanyia chadema bado mnaita ni mchango mkubwa kwenu,, mmmh!
 
CDM Iramba kimekufa kabisa nyie ndugu zangu wanyiramba acheni kumfikiria Dr Kitila maana hata mkidhikiri uchi CC ya CDM haiwezi kutengua maamuzi kamwe!

Sasa tuendelee kulima Alizeti yetu na mahindi na ndugu zangu wa Kidaru, Kiteka, Doromoni wote waendelee kulima uwele na kutumia vyema hizi mvua zinazoendelea kunyesha!

Hakuna namna Dr Kitila akarudishwa ingawa mmeumia sana! Na kinachowauma zaidi kwa CCM kuendelea kuimarika katika tarafa zote nne na kata 17 na vijiji vyake 76!

Songela zigizigi!
 
Kamati kuu ya Chadema,tunawaomba,sisi wanairamba,mmurudishie uanachama Dr Kitila Mkumbo; ni mchango mkubwa sana kwetu lakini pia sisi kama wanachadema toka Iramba Magharibi bado tunaimani sana na Chadema.

Peleka njaa zako mbele, kuna vyama vya siasa 20 achaguwe cha kujiunga nacho na wewe msukule wake umfuate uko.
 
Gamba hilo,kajichanganya tu. Naona ndiyo mwendelezo ule ule wa kuhweuka kwa magamba,shinikizo la damu juu,msongo wa mawazo umesongamana. Kazi ipo kweli kweli.
 
aombe radhi yeye mwenyewe kwa kujutia aliyoyafanya ili afikiriwe
 
Kwani ni kitila Mkumbo anaeweza kuuwakilicha Ujumbe wa Chadema huko Iramba?
Acheni kuwa vilaza.
 
Kwani ni kitila Mkumbo tu anaeweza kuuwakilicha Ujumbe wa Chadema huko Iramba?
Acheni kuwa vilaza.
 
Kitila ni mkorofi,mpaka wachungaji na mashehe walitaka wamwoombee msamaha,kakataa.
 
Back
Top Bottom