Kutoka Ikulu: Ushiriki wa sekta binafsi katika Tanzania ya viwanda, Mengi akosoa ukadiriaji kodi kandamizi wa TRA

zamani ilikuwa mkutano kwenye huu ni kwenye mahotel makubwa, sasa hivi nyumbani ikulu....
 
Replica Dr.Mengi nadhani ana matatizo makubwa ya kiafya.Nimeona kwa muda mrefu kitu ambacho si sawa katika physique yake,nahisi anajikaza tu.Mungu amsaidie.

Kuhusu ukadiriaji wa kodi wa TRA,ni kweli ni kandamizi.Yaani hawatumii weledi wao kabisa,ni vurugu tupu.Nahisi wanatumiwa kuigonganisha serikali na wananchi.Naiomba serikali iisimamie TRA kwa umakini zaidi,kuna shida kubwa.TRA inatuumiza sana sisi wafanyibiashara.
 
kiwanda.jpg

Leo March 19, 2018 Moja ya shughuli inayoendelea ikulu ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli Ambae ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara anaongoza Mkutano wa 11 wa baraza hilo.

Akifungua mkutano huo Rais Magufuli amewataka wanaohusika na masuala ya Viwanda ndio wazungumzie Viwanda “Unamkuta mtu hana kiwanda lakini kila siku anazungumzia Kiwanda, hana kiwanda hata cha Pipi, nimeamua nyinyi wenye viwanda ambao mnazipata hizo changamoto tujue tatizo ni nini?”
Hili Jamaa Linakeraaaaaaaaaa,

- Hivi CCM walikosa kabisa mtu wa kumpa nchi, wakaona huyu ndo anafaa ??
 
Hili Jamaa Linakeraaaaaaaaaa,

- Hivi CCM walikosa kabisa mtu wa kumpa nchi, wakaona huyu Mbwiga ndo anafaa ??
Mkuu sio sawa kumtolea maneno ya namna hiyo Rais ya nchi tena ambaye anaweza kuwa baba yako, hivi imagine angekua ni baba yako ndo anaambiwa maneno kama hayo ungejifikiriaje wewe unastarihi kukaa ndani maisha yako yote
 
Mkuu sio sawa kumtolea maneno ya namna hiyo Rais ya nchi tena ambaye anaweza kuwa baba yako, hivi imagine angekua ni baba yako ndo anaambiwa maneno kama hayo ungejifikiriaje wewe unastarihi kukaa ndani maisha yako yote
Utoto unamsumbua halafu akijikuta yuko mafinga aanze kusumbua wazazi wake
 
Back
Top Bottom