Malaika wa Kifo JF-Expert Member Joined Apr 11, 2012 Posts 4,089 Reaction score 4,733 Mar 7, 2018 #41 Ila mimi kusamehe daah! Sijui nipoje?! Yaani mtu akinivuruga mara moja tu ndo basi tena, hali hii imesababisha nigombane na watu wengi sana, yaani tatizo langu jambo dogo naweza kulikuza likawa kuuuubwa, ila sio mbaya maana nimeshajitambua
Ila mimi kusamehe daah! Sijui nipoje?! Yaani mtu akinivuruga mara moja tu ndo basi tena, hali hii imesababisha nigombane na watu wengi sana, yaani tatizo langu jambo dogo naweza kulikuza likawa kuuuubwa, ila sio mbaya maana nimeshajitambua
kirisha JF-Expert Member Joined Feb 24, 2017 Posts 573 Reaction score 663 Mar 13, 2018 #42 mshana jr said: Part 3 Click to expand... Huyu dada